Search results

  1. J

    Uchaguzi 2020 Naipenda CCM, Sipendi yanayojiri

    Kwakweli timu ya kampeni inayoongozana na Magufuli haina weledi wa kutosha wa kichama. Polepole na Bashiru hawana makuzi kupitia CCM. Kwenye kampeni hii, unamwachaje Nape, Mwigulu, Lusinde, Bulembo, Mwanri n.k
  2. J

    CCM ina cha kuogopa, siyo Membe au Lissu

    CCM haikosi usingizi kwa harakati za ACT na CHADEMA, ila nadhani itatikisika kwa hoja zao zaidi zinazolenga kuonesha na kutatua shida za wananchi. CCM ijiandae kupoteza kura kwa makundi yafuatayo km haitakua na majibu. (1) Kundi la watumishi wa umma; kundi hili lina hasira ya kutoongezewa...
  3. J

    Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?

    Kwani Mzanzibari ni nani wewe kilaza??! Kisiwa kina mchanganyiko wa asili ya watu kutoka maeneo tofauti tofauti.
  4. J

    Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?

    Unashindwaje kujua vitu vidogo hivi. Kuwa mbunge ktk jimbo lolote Tanzania bara lazima uwe na sifa moja muhimu miongoni mwa sifa zilizoanishwa ktk sheria na kanuni za uchaguzi; sifa yenyewe ni lazima uwe mtanzania. Sasa kila Mzanzibari ni Mtanzania, hivyo, mzanzibari anaweza kugombea popote...
  5. J

    Uchaguzi 2020 Kilio hiki kikufikie Dkt. Bashiru na Rais Magufuli. Rushwa yatoa mgombea Singida Magharibi

    Umeshindwa unasingizia rushwa. Ni jukumu la wapiga kura kukataa rushwa. Unaweza pewa rushwa na usimpigie aliyekupa, ndio maana wengi wazito wamegaragazwa. Na kama alitoa rushwa ungemripoti TAKUKURU.
  6. J

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Mwana habari nguli, tuwekee mkeka wa matokeo ya jimbo la Chemba likionesha wagombea wote na idadi ya kura.
  7. J

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Mbona umeishiwa pumzi. Mbona hufanyi updates za kutosha. Mfano, jimbo la Chemba hujaweka matokeo ya kura kwa wote walioomba. Weka matokeo yakiwa full.
  8. J

    Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

    Unaanza kulaumu kwa dhana tu, nani kakuambia Ndugulile atakatwa? Mbona Mwenyekiti Magufuli kesha sema maamuzi ya wanachama yataheshimiwa ili mradi aliyeshinda kashinda kihalali.
  9. J

    UTEUZI: Rais Magufuli afanya uteuzi wa Wakurugenzi watendaji wa Wilaya na Jiji

    NImeona Rais jinsi anavyoona mambo kwa haraka sana. Amebadili namna ya kuteua wakurugenzi, sasa anateua wakurugenzi kwa kufuata utaratibu bora kabisa. Anateua watu wenye kuijua local government na wenye sifa za kiutumishi kushika nafasi hizo. Pia nimeliona hilo kwenye u DC. Cheo cha u DC ni cha...
  10. J

    Kiitikio cha nyimbo ya roma mkatoliki

    Sio nyimbo ya.... ni wimbo wa.... Tofautisha wingi na umoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    #COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Hofu ya kukosa sadaka hiyo!! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    Wananchi 26 Mkoani Arusha wanaohofiwa kukutana na Isabela wanaendelea kuchunguzwa

    Maksi ndio nn! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    Askofu Bagonza: Hili la Dr Bashiru na matumizi ya Dola inamanisha Hata tukipiga tusipopiga kura bado dola itaamua nani mshindi

    Dr. Bashiru hajasema CCM inatumia dola kushinda uchaguzi bali inatumia dola kushika dola. Sasa hapo kila mtu atakua na uchambuzi wake. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

    Kutumia dola kushika dola ni tofauti na kutimia dola kushinda uchaguzi. Chama chochote duniani chenye kushika dola huwa kina advantage ya kutumia dola kutengeneza sera na sheria zinazoweza kuwavutia wapiga kura, mfano wa vitambulisho vya wamachinga kwa Tanzania, kuongeza kodi kwa bidhaa za China...
  15. J

    Kwa hili, Kigwangalla hufai kuwa hata mbunge

    Jeshini hilo ni jambo la kawaida. Unaweza kupewa adhabu hata mbele ya mkeo. So far, hizo ni adhabu za ukakamavu wa kijeshi na wala sio kupigwa viboko. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. J

    Askofu Bagonza aamua kumtetea Prof Kabudi, asema yuko sahihi katoka jalalani

    Mambo mengine ni mpango wa Mungu. Unaweza kuwa mtumishi wa umma na una sifa zote na za ziada lkn teuzi zikipita wala hata kufikiriwa hufikiriwi. Hivyo, kuna bahati mtu kaandikiwa na Mungu.
  17. J

    Maggid Mjengwa: Msimamo wa Serikali kuhusu mradi wa Bagamoyo ni Sahihi

    Hata km anajenga mwenyewe Mchina, masharti yake ndio kichefuchefu. Hstutakubali kuingia mikataba ya kipuuzi.
  18. J

    NEC na Serikali acheni kung'ng'ania Wakurugenzi! Suluhisho hili hapa...

    Anazungumzia msimamizi mkuu kwa niaba ya tume, huwezi kumfanya mtu huyu wa muda. Na mahakama imetaka maded waondolewe na haikuzungumzia wasimamizi wasaidizi. Swala hapa Tume iajiri wasimamizi wa kudumu badala ya MaDED kwa kuepuka wateule wa Rais, viongozi wa vyama kwenye ngazi zote. Na njia...
Back
Top Bottom