Search results

  1. O

    Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

    maji siku zote hufuata mkondo mtoto ni maandalizi katika malezi ukimlea kisiasa wategemea atakua mvuvi??
  2. O

    CHADEMA wanasa mikakati ya CCM, Kinana kumwondoa Tundu Lissu Bungeni

    Jasiri sifa kuu yake hana woga Dr. Silaa na wanachadema tulieni maneno na malumbano yaje huko kwenye kesi kama itafunguliwa.
  3. O

    Wanafunzi wa Manzese Secondary wanaanguka chini na kuzimia

    Mungu Baba muumba wa Ardhi na mbingu tunusuru nautusamehe dhambi zetu naamini miujiza na haya mabaa yanakuja kwakua tumezidisha kufuru kuliko maombi kwako, "ASTAGHAFIRU LLAH WA AFUANA"
  4. O

    Kariakoo: Mfanyabiashara ajirusha toka ghorofa ya tisa na kuangukia gari mchana huu

    Mungu mnusuru mangi na wale wote wenye mawazo ya kupitiliza wasoweza kuyapatia ufumbuzi hadi kufikia hatua ya kutaka kujitoa roho! Blaaaa!
Back
Top Bottom