Search results

  1. M

    JK angepewa Nchi mwaka 1995 tungekuwa wapi?

    Unanichanganya, hapa sielewi mdini ni yupi? anayerejesha kilichokuwepo au anayepinga kisiwepo? help please.
  2. M

    JK angepewa Nchi mwaka 1995 tungekuwa wapi?

    Tunabwata weee mchana kutwa, usiku ukifika twaingia vyumbani mwetu hadi kunakucha, salaama na amani. Hamshukuru nyie!!!! 'something is done'. asubuhi kelele tena, JK hivi Ben vile, EPA, BUZWAGI kadha wa kadha. TUFANYE KAZI KWA BIDII...Hakimu, polisi, magereza, mwanahabari, raisi tena wote hata...
  3. M

    Photos and Videos Only: Gaza Strip

    Huu ni ulevi na kuchanganyikiwa kupita kiasi kwa Israel, wamepagawa, wametahayuri, hawamwamini mtu yeyote sasa, kichaa kapewa rungu, tufanyeje? Naungana na wale wenye kuwaombea salama watoto, wanawake na wazee wasio na ulinzi hawa, mungu awape subira na uvumilivu wa hali ya juu mpaka nusura...
  4. M

    Serikali na Hatima ya ATCL

    Siamini kwamba hatua hii ni ya dharura ili kuzuia mafisadi kukimbia, lakini mambo ya muhimu kuzingatia ili tupate maendeleo katika karne hii tuliyonayo tunahitaji; WATU-kama tulivyokuwa tukikariri mashuleni zamani na hata sasa bado ni hivyohivyo na ndiyo ukweli wenyewe (nawashangaa wanoua watu...
  5. M

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    Kila autakae ukubwa basi na amrudie muumba wake, maana ukubwa wote upo kwake. Tukipigiana kelele na kutanua misuli tutaumizana bure. wana JF tukemee haya kwa nguvu zote.
Back
Top Bottom