Search results

  1. R

    UKAWA, mbona mpo kimya wabunge wetu kupewa mafao makubwa kiasi hicho mil 230 kila mmoja?

    Wapinzani hutusaidia ktk kueleza ufsadi unao tokea nchin na kusababisha baadhi yao kuachia ngazi ya uwaziri. Basi tusaidien kupinga ufsadi huu wa wabunge.tofauti na hapo tutajua kuwa ufsadi unao wanemesha nyie huwa hamsemi. nawasilisha
  2. R

    CHADEMA jimbo la Mhambwe na migongano ktk harakati za uchaguzi mkuu, Wapinga maamuzi ya UKAWA

    mimi si mtangaza nia ila napenda mabadiliko ili kuweza kushinda hawa ccm, maana ukawa wakijichanganya jimbo linaenda kwa ccm. jimbo hili sisi ndo tunalijua
  3. R

    CHADEMA jimbo la Mhambwe na migongano ktk harakati za uchaguzi mkuu, Wapinga maamuzi ya UKAWA

    WanaCHADEMA wa Kibondo-Kigoma wamepinga maamuzi ya UKAWA ya kuwa jimbo hilo limewekwa kwa NCCR-Mageuzi wakati Felix Mkosamali (MP) hakubaliki hata kidogo. Katika serikali za mitaa CHADEMA ndio ilishinda kwa kishindo kupita NCCR-Mageuzi. Sasa UKAWA wametumia kigezo gani kuwapa NCCR-Mageuzi...
  4. R

    kweli Zitto noma pamoja propaganda zote CHADEMA bado yupo katika mioyo ya wana Kigoma tu

    Mimi niko kigoma, hao ni wale wanaomtegemea tu. Lakin kigoma hakubaliki hata kidogo, kama anapendwa asubili mwezi OCTOBA atapata majib
  5. R

    Tunamwomba Mansour na Mzee Moyo Kuja Bara

    Kweli kwa baadhi ya wazanzibar wanajitambua na mfano ndo huo ulio utoa
  6. R

    BAVICHA kutikisa Musoma Vijijini (tarehe 17 Aprili, 2015)

    Twanga pepeta hiyoo!,. kamanda
  7. R

    Heri ya pasaka wananchi wa Kigamboni, Hongereni kwa maamuzi magumu dhidi ya Diwani.

    Kwa mbunge nae wa eneo hilo anasemaje? Au na ye2 hana mchango wowote?
  8. R

    NEC: Kura ya maoni ya Katiba Mpya kusogezwa mbele

    Tofauti kati ya kura ya UAMUZI na kura ya MAONI. uamuz ni final say hata kama wengi watakataa wakati maon ni mapendekezo apendayo mtu kuyatoa ambayo yaweza kukubaliwa au kukatalhwa.hivo ni kura ya maon na si ya uamuz
  9. R

    UKAWA wakubaliana kuwa na mgombea mmoja wa Urais

    Salaam, Ili mambo yaende vema, ningependekeza mambo yafuatayo kwa UKAWA; 1. Kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa TZ, mgombea urais atoke CHADEMA na mwenza wake atoke CUF. 2. Kwa upande wa Zanzibari, mgombea urais atoke CUF mwenza wake atoke CHADEMA. 3. Katika kampeni, waende as a team ...
  10. R

    Haya ndiyo Majina ya wagombea wa nafasi za uongozi Taifa ACT- Tanzania

    ZZK ni katibu mkuu, hata asemeje ni nnafiki tu
  11. R

    Kigoma hiyoo! CHADEMA ndani ya jimbo la Buyungu

    leo kumefanyia mkutano wa cdm kakonko na watu 32 wa ccm wamehamia cdm nitaweka picha
  12. R

    Jimbo la buyungu kakonko kigoma

    Baada ya ZZK kufukuzwa cdm na kwenda ACT, Leo kakonko watakuwa na mkutano mkubwa wa cdm ambapo watazungumzia yafuatayo; 1;kushukuru wapiga kuwa kwa kuwapatia viti 25 vya cmd kati ya 39 ktk serikal za mitaa. 2. kushukuru uongoz wa chama ngaz ya taifa kutekereza mawazo ya nguvu ya uma kwa...
  13. R

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi niko wilaya ya kibondo kigoma, natafta mwl. anayefundishia ktk halmshauri yoyote iliyoko mkoan TABORA ili yeye aje kibondo. my no. 0764671227
  14. R

    Ombi kwa ITV, tunaomba mdahalo urudiwe

    Urudiwe kama recorded na watoe cd tutazinunua kwa elf10
  15. R

    Humphrey Polepole ni nani?

    Napendekeza huyu kijana polepole agombee kwenye tumehuru ya uchaguzi muda utajapo fika b'se huyu si mwanasiasa. KUBALI au KATAA
  16. R

    Kama wangenisikiliza ningewashauri hivi

    Poa ila unaitikadi ya kiciciem. kashaurianeni na chama chako
  17. R

    Tamko la Chama cha wanasheria tanzania kuhusu katiba

    Kipindi mdahalo ukikaribia kuisha jana walisema kuwa watatoa tamko kesho j.tatu ambalo litakuwa ni kuwaburuza mahakamani hao wanao endelea na mchakato wa katiba bungeni bila kuwepo kwa ukawa.hivo naamini BMK halitaendelea bila ukawa. mi ndo niliwaelewa hivo
  18. R

    Jenerali Ulimwengu na P.L.O Lumumba kukutana live kwenye mdahalo wa katiba ITV

    tuwekeen tarehe kwani hatujui kama hiipost imejuja leo au jana tarehe 31.07.2014. so mdahalo ni leo tar 01 au kesho tare 02?
  19. R

    Eti wakajadiri katiba ikiwa haifai wananchi wataikataa..imekaa sawa?

    Maciciem mazuzu kweli.wao walete tu hiyo katiba tuikatae. kwani hakuna haja ya kwenda bungen wakati rasmu ya warioba haijadiliwi
  20. R

    Hali ya CHADEMA Mkoa wa Kigoma yenye Wilaya nane

    Sisi WAHA tunajua tunacho kifanya, ZZK alichofanya na CDM inachofanya.tunatambua kuwa ACT ni zzk party na kwa waha huwa hatuungi mkono msalt na kama unabishi subilia mwakan although kwenye mikutano yake anapata watu wa kumsikiliza na jua si- kila aendae kusikiza ACT eti unakiunga mkono. wapenzi...
Back
Top Bottom