Search results

  1. MASIKIN JEURI

    Usaliti mkubwa ndani ya Stanbic bank, siri nzito zavuja baada ya MD kuenguliwa

    From: Awale, Bashir B Sent: Tuesday, February 08, 2011 8:26 AM To: Tanzania EXCO Members Subject: Dowans/Stanbic/Meremeta/Group5/Tanesco If any reporter or external person calls with respect to the above, please refer them to Abdallah or I. Please advise your teams all the way down. AS, our...
  2. MASIKIN JEURI

    Daftali la mpiga kura linarekebishwa lini, ili nipate kadi ya mpiga kura 2015

    Wana jamvi, nimependa kuuliza daftari la mpiga kura linarekebishwa lini ili nipate kadi ya mpiga kura kwa ajili ya kuwakaanga CCM na nguo zao za kijani kama mchicha.najua Nape na Mwigulu mpo hapa lkn napenda kujua hiyo haki yangu kikatiba ntaipata wapi kwa kuwa kadi yangu ya kwanza...
  3. MASIKIN JEURI

    Mimi ni mtanganyika, siupendi muungano natamani ufe

    Haya niyangu kutoka kumtima wange, Wazanzibari kwa dharau wanatuita wa bara au Tanzania bara. hawa watu tunawapa umeme buree, tunabembeleza muungano kwa gharama nyingi sana, wazanzibar wana serikari yao ya mapinduzi, inayotunga sheria zao, budget yao, na mambo lukuki kwa faida yao, afu wanataka...
  4. MASIKIN JEURI

    Wow...! Lawrence Masha amenivutia

    Wana jamvi, nimevutiwa na aliyekuwa mh.waziri wa mambo ya ndani ya nchi, bwana Lawrence Masha ktk kipindi cha mkasi kilichorushwa jana na EATV. Pamoja na mambo mengine bwana Lawrence Masha alisema ametembea nchi nyingi sana, na bila kumunyamunya maneno alisema watanzania ni "waongo sana" kuliko...
  5. MASIKIN JEURI

    Tanzania kuongozwa kwa nguvu za giza

    wana jamvi, week hii nimeona kupitia itv kwamba machifu wameandaa mkutano uliowakutanisha wao na serikali.ambapo ktk mambo mengine wakiwa wamevalia kiasili zaidi, shanga, manyoya, mikia ya wanyama, na makolokolo kibao waliongelea swala la wao kuisaidia serikali kuiongoza nchi.kwa fikra zangu...
  6. MASIKIN JEURI

    WanaJF, mmeshasikia habari za shirika linaitwa PCSP jijini Mwanza linalivyoliza watu?

    Wanajamvi bila shaka mmeshasikia shirika liitwalo "Popular culture and sports programme", PCSP. Viongozi wake wanasema ndani ya mradi huu wa PCSP kunashirika lililoanzishwa linaitwa "International Project of HIV AND AIDS", Tangu viongozi wake waseme kuwa mradi mpya unaanza ndani ya PCSP mpaka...
  7. MASIKIN JEURI

    Viwanda katika makazi ya watu - mipango miji wanajua wajibu wao?!

    Wapendwa wana JF, swala hili linanikera sana limo ktk orodha ya kero zangu nyingi ktk selikari hii. Nimemtembelea ndugu yangu akiwa hapa Mwanza nanina post thread hii nikiwa jijini Mwanza. katika pitapita yangu, kwakweli nasikitika kuona viwanda vimo na vingine vinaendelea kujengwa katika makazi...
  8. MASIKIN JEURI

    Viwanda katika makazi ya watu - mipango miji wanajua wajibu wao?!

    Wapendwa wana JF, swala hili linanikera sana limo ktk orodha ya kero zangu nyingi ktk selikari hii. Nimemtembelea ndugu yangu akiwa hapa Mwanza nanina post thread hii nikiwa jijini Mwanza. katika pitapita yangu, kwakweli nasikitika kuona viwanda vimo na vingine vinaendelea kujengwa katika makazi...
  9. MASIKIN JEURI

    Consultation fees (Gharama ya Kuonana na Daktari) zinatumaliza watanzania - RAIS tusaidie

    Ndugu zangu wa tz hili swala linanikereketa sana moyoni, nahitaji msaada wenu wa mawazo. gharama za kuonana na madaktari au Waganga mahosipitalini zipo juu sana, ktk kila hospitali, haijalishi niya serikari au private.nimehudhuria hospitali nyingi lakini sioni unafuu wa hospitali moja na...
Back
Top Bottom