Search results

  1. N

    Yathibitika: kuoa wake wengi huongeza umri….!

    lazima ufe mapema kuoa huwezi kukwepa kumega mkate wa uzima,kumbuka wake 2 tu lazima utoke jasho la pua kama unawahudumia kikweli kweli utaishiwa na protini kabisa kwa hao 91,jaribu uone baba Ngina ndo utajua nyau siyo mboga.
  2. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Asungilwemwaifunga unasema"Tatizo je CCM wataweza kumasafisha tope walilompaka? Ni mpaka pale wale waliokuwa kwenye mtandao watueleze ukweli na uongo juu ya matope yale waliompaka amasivyo bado hata yeye mwenyewe sidhani kama atakuwa willing kugombea nafasi hiyo". kama kakubali kurudi kamati...
  3. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Alizaliwa 23 january 1942,mtu wa miaka 71 tunaweza sema mzee sana akina kibaki vipi, naona kama si mzee sana vile.
  4. N

    Tabia hatari katika mahusiano ya kimapenzi; Jirekebisheni.

    uongo kweli mbaya ndo maana mtu akijiangusha eneo la penati anapewa kadi ya njano uongo kwa mkeo ni zaidi ya kujianguasha eneo la penati ni kujiangusha ndani ya gori kabisa.
  5. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Ni kweli wewe na mimi hatutaki kusikia ccm vipi wengine ambao bado wanasema hawachagui chama ila itategemea mgombea gani wanaye mtaka akiwa ccm au TLP,CUFnk unawasaidiaje?
  6. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    mkuu conclusion yako na kwenye hizo bold unanichanganya[/B] sababu umeeleza uwezekano wa yeye kuwa rais kutokana na mambo uliyotaja,halafu conclusion unasema huoni atapata wapi nafasi ya kuwa rais wa Tanganyika,si nalo mpaka katiba ijayo kama itaitambua Tanganyika yetu.vinginevyo wewe mwenyewe...
  7. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    ni kweli huyu jamaa na mbinu zake chafu ni wa kuangalia sana mimi naomba wamchakachue ccm wenziye huko waje na kapengele kuwa yeyote aliyewahi kuhusishwa na kashifa yeyote asigombee urais.
  8. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    kukimbia tena? ni sawa na paka shume limeigia kwako na kuanza kula kuku wako eti unaliachia kibanda.
  9. N

    Nitajuaje.....?.

    Najua kuna imani mbalimbali,au malezi mazuri katika familia huwa hawaruhusu kufanya tendo la ndoa.je mwana ume atajuaje kama fimbo ya Haruni inachipuka? njia pekee ni kama ulivyoambiwa na mdau kuwa asubuhi mara kwa mara mwanaume aamukapo asubuhi huwa mnara umesimama, ni kutokana neuroreflexes...
  10. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    mwenye sikio na asikie lakini serikali itakubali kubadili mfumo huu wa muungano? yetu macho na masikio may be ikiondoka madarakani hilo litawezekana.
  11. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Kwanini haitowezekana kuwa na rais toka zanzibar? mkapa na kikwete si wabara si zamu ya wazanzibar au walishaacha kupokezana? au unamaanisha nini?
  12. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    '.........mh.rais wewe unajua kwamba nikwambia tusimamishe mkataba na richimond ukakataa....by El"ikifika saa kila mtu anajisafisha kivyake.
  13. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    penye bold kina Mwigulu anayeporomosha matusi,Nchimbi ambaye anaangalia raia wanauawa na polisi kila siku,mangula mzee wa takrima ndo wenye busara? kweli safari ya ukombozi bado ni ndefu sana
  14. N

    Wanaume kwani lazima???? Kuweni fair

    Inzi hufuata uchafu,macho kodokodo kila mwanaume anayepita,kuvaa nusu uchi kuonyesha bidhaa ulizonazo,usiku wa manane baa. mkiya solve hayo mijeba itapita mbali............kama roketi.
  15. N

    Kama mke hazai ni vema kuachana naye?

    usimuache watoto hutoka kwa Mungu "...........mwili kurudi mavumbini maana watokana na mavumbi na roho kurudia ilikotoka"nafsi na roho hutoka kwa Mungu. fanya maombi mazito pamoja na kuomba rehema sara alipata mtoto akiwa na miaka mia,KUNA JAMBO GANI LILILOGUMU KUMSHINDA BWANA?
  16. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    kama akisimama kama mgombea binafsi sifikiri kama atashinda ccm mabingwa wa kupaka matope watu watamchafua sana kama walivyo wahi kumfanyia, pona yake agombee ccm
  17. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    la uozo utakuwa uleule inawezekana lakini kusema Kikwete alionekana makini kuliko salim si kweli ila alishinda kutokana na kuamua kuunganisha mashabiki wa Lowasa na wa kwake ndo wakashinda ili waje kugawana madaraka,vinginevyo salim angeshinda asubuhi tu.
  18. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Kwani tunataka rais wa kutupeleka mbinguni? mimi nafikiri usimchukie slaa kwa ajili ya hilotu may be kama una sababu nyingine ndo maana wapo wachungaji,mashehe,mapadri ndo wanawaandaa watu kwenda mbinguni/ahera.
  19. N

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Ni kweli kabisa chadema inatisha kama ukoma sasa hivyi,lakini naona watanzania ni wepesi sana kugeuzwa mfano sasa hivyi kuna propaganda kuwa ccm imejipanga upya kwnye nyanja za juu kiutendaji,halafu naona wanaelekea kuamini lakini ukiangalia watu ni walewale,Kinana ndo alikuwa kampeni meneja wa...
Back
Top Bottom