Nazi nzuri,kubwa zilizokomaa nazi moja ni sh elfu 1,nafanya delivery kuanzia nazi 10 around city centre bure..usisumbuke kutafta nazi watu wa dar nipo kwa ajili yenu,wateja wa jumla pia karibuni saaanaaaa
0718849991
Sawaa asantee lkn pia hyo bei inategemea na ukubwa wa nazi huo mda unaotumia kwenda kutafta nazi stereo mm nakuletea ulipo na nazi yangu nina uhakika nayo ni kubwa na imekomaa...asante sana kwa ushauri wako zipo sehem wananunua nazi 1500
Inawezekana inategemea na sehem ulipo nazi zimekua adimu na zimepanda bei sana na nazi za kilwa ndo zenye bei sana hata masokoni..hiyo ndo bei yangu mimi kutokana na ninayochukulia shambanii
Nazi nzuri,kubwa zilizokomaa nazi moja ni sh elfu 1,nafanya delivery kuanzia nazi 10 around city centre bure..usisumbuke kutafta nazi watu wa dar nipo kwa ajili yenu,wateja wa jumla pia karibuni saaanaaaa
0718849991
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.