Search results

  1. G

    Askari wa Jeshi la Polisi aliyeongea kuhusu NIPA Kufuzwa kazi nikuonewa!

    huyu hajafukuzwa kwa kosa la NIPA kilichomuondoa ni kukutwa na mwanafunzi wa kidato cha tatu akiwa uchi kwenye gari , wabongo huwa hatusomi contents tunakuja na mihemko tu
  2. G

    Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

    sio lazima wewe uamini kwa utaalamu upi ulionao
  3. G

    Mikosi au wakati wetu haujafika?

    hujatuambia ktk hizi sample ulizotupa ni chache kuna wengine kati ya hao 200 umewazidi mbali jipige kifua sema Mimi ni mshindi
  4. G

    Kulegezwa mapambano dhidi ya VVU Ukimwi, tujiandae kwa janga kubwa kwa taifa miaka michache ijayo

    Naona Uzi wako umekaa kimbea mind ur business hao wateja unaoita wengi wamezaliwa nao wala sio ajabu jifanye uko makini Tena mizigo yote acha ila siku mkeo akikuletea uje Tena hapa na huu uharo wako
  5. G

    Salamu ya shikamoo ifutwe rasmi na Serikali

    haya mambo hayapangwi kisheria huanza kama tabia , Kisha tabia ikikomaa huwa ni utamaduni . kwani siku mnaanza kusalimiana Shikamoo mlitunga Sheria ? afu unajistress kwa vitu minor we amka asubuhi mwambie babako na mamako mambo vipi !!! uje utupe majibu hapa imekuaje
  6. G

    Askari wa Jeshi la Polisi aliyeongea kuhusu NIPA Kufuzwa kazi nikuonewa!

    kilichomuondoa sio NIPA Kilichomkost ni kukutwa na mtoto wa shule jamaa alikua na mlolongo wa matukio
  7. G

    Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

    siku mamako akibakwa urudi hapa kuandika uharo huu
  8. G

    Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

    Ulivyokua boya unakaribisha maswali kwa kitu ambacho huna utaalamu nacho ..... hakuna cheo kinaitwa RSM ndugu afu haya majeshi mengine hizi ni taasisi za kiraia zikizoundwa kupambambana na vikundi vya kuharifu vya ndani ndio maana wote wakizidiwa huitwa hao wanajeshi
  9. G

    Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

    Angalia akili za ma PC wa police kazi kupasi nguo na starch ndicho unajua tatizo movie mnazo angalia komando Hawa wamefanya mengi nchi hii Hamza tu aliwatoa jasho
  10. G

    Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

    Wabongo wajuaji Sana weak kwa viwango vipi ? afu huwezi onyesha coin yako ya mwisho ila Mungu mkubwa ukiuliza hizo nchi zote nani zinamhofia kwenye makablasha yao watakueleza and they know TPDF well we ka huko vijiweni kwako kwa mpalange and you talk this shit
  11. G

    Nguvu ya kiroho nyuma yako ndiyo itaamua ufanikiwe au lah!

    nguvu hiyo inaitwa fanty power ambayo hata wazee walipambana nayo wameishia kujenga nyumba moja kwa maisha yao wanazeeka hawana kitu hii nguvu ni ya asili waulize watu wa kigoma kwa Nini hawajengi kwao
  12. G

    Biashara ya ukahaba ni kaa la moto Dar

    Salon za kufanyia massage au massage parlor
  13. G

    JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    Fanya tafiti man vile vibwagizo hata Korea marekani wanavunja tofali ulitaka kwenye events kama waende na laptop Dunia ya Leo Bado hakuna mbadala wa kutumia nguvu hata hao wamareni Bado miguvu jeshini ipo
  14. G

    Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

    Tena huyu father anachafua taasisi hizi mbili yaani kanisa na JWTZ
  15. G

    Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

    Huyu sio mwajiriwa wa JWTZ , JWTZ haijawahi kua na mwajiriwa mtata kama huyu ni msomi ila anga za kijeshi anaonyesha uelewa mdogo
  16. G

    Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

    Msipotoshe umma kwa uelewa wenu mdogo juu ya maswala ya kijeshi huyu father alipata mafunzo rasharasha ya kijeshi yaani hata mafunzo ya mgambo yako juu yake kupewa hizo nguo na wasudani kusini Haina maana tayari ni mwanajeshi , mtu Toka kujiunga na Jeshi huchukua miaka 15 kua na cheo cha Major...
  17. G

    Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

    Haya sio mavazi ya JWTZ hayo mavazi ya Jeshi la Sudan kusini kule vyeo hupeana tu mfano hakuna nyota nne JWTZ huyo kavaa nyota nne ugumu na mda wa kozi ya komando , PhD , upandre , kadet , napandaji wa vyeo haiwezekani kwa mtu mmoja chanzo cha habari hakiko sahihi na habari hii imekanushwa...
  18. G

    Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

    akili za tatu mzuka kamisheni inaambana na Rais period haya ulikamisheni lini chukwani?
  19. G

    Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

    mmesoma Sheria kweli ila ikifika Sheria ya rais kutoa kamisheni CD inascratch soma Nini maana commissioned officer na gazzeted officer !
Back
Top Bottom