Search results

  1. Skyworth

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Sasa shemeji ni Mungu yupi huyo ambae anaruhusu Pombe? Chama chenu kimesema kikishika hatamu mtaboresha pombe aina ya Gongo lakini nisimakatalie huyo Mungu atakuwa wa pale Ufipa.
  2. Skyworth

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Kila siku munaanza na Mungu ni Mungu yupi huyo hata farao alijiita Mungu.
  3. Skyworth

    Sheikh Farid: Kwanini nishitakiwe kwenye mahakama ya Tanganyika?

    Acha kurukaruka kama kuku aliyechinjwa jibu swali.
  4. Skyworth

    Sheikh Farid: Kwanini nishitakiwe kwenye mahakama ya Tanganyika?

    Na Anti balaka ni dini gani?
  5. Skyworth

    Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Noel 2014 unajifunza au una kejeli "back to the topic" haya maswali yako yafungulie thread nyingine...
  6. Skyworth

    Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Jmushi1 matusi ya nini mimi nakuona ni mwehu kwasababu unamtukana mtu usiye mjua ni sawa na kurusha ngumi hewani tulia ufunzwe historia ya kweli ya hawa wazee... acha kurukaruka kama kuku aliyechinjwa!
  7. Skyworth

    Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Mlengo wa Kati kama wamakonde wametoka mtwara si wadanganyika wenzenu sasa kwani kunaubaya wakiendelea kula ruzuku kutoka Tanganyika?
  8. Skyworth

    Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Wa kumlaumu ni huyo baba yenu wa taifa nyerere acheni unafiki nyie wadanganyika.
  9. Skyworth

    Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Mlengo wa Kati hata nyie munaishi kwa misaada kutoka kwa hao wafadhili sasa kujifanya nyie wajuaji kumbe ndio wale wale "chai ya rangi sles kavu"
  10. Skyworth

    Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Nguruvi3 Haya unayaandika kwa chuki zako binafsi sisi tunaitaka Zanzibar yetu huru lakini hilo suala la Zanzibar ni mzigo ni tusi kubwa kwa wazanzibar..... yaani natamani hata kesho huu muungano uvunjike. Zanzibar tulikuwa hatujui mambo ya @ulevi,uzinzi,wizi mmetuletea nyie wadanganyika...
  11. Skyworth

    Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Kiriku hayo unayoyasema unaushahidi nayo? Au ni msukumo wa mawazo ya watu wengine.
  12. Skyworth

    Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Si mutuachie Zanzibar Yetu mbona povu linawatoka?
  13. Skyworth

    Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

    Nimeleta mada ili kujua kinachoendelea sasa hivi ni UNAFIKI au ni kututakia mema watanganyika na wazanzibar.
  14. Skyworth

    Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

    Namnukuu Hamad Rashid wakati akiwa (KUB) anasema wakiwa bungeni mbunge wa Moshi mjini Philemon Ndesamburo aliniuliza hichi chama chenu cha CUF mbona kimekaa kiislamu? Leo hii hawa hawa wafuasi wa Chadema wanasema chama cha ACT ni chama cha kiislamu kisa nyota mara chama cha watu wa Kigoma hapo...
  15. Skyworth

    Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

    Nani “CCM–B” CHADEMA au CUF? Juma Duni Haji MADHUMUNI ya Chama cha wananchi (CUF) kama yalivyo katika Katiba yake ni, “Kuwaunganisha Watanzania wakatae uonevu, kudhalilishwa, kunyanyaswa, kubaguliwa au maovu mengine yanayoweza kufanywa dhidi ya heshima ya utu wa binadamu, yawe yanayotendwa...
  16. Skyworth

    Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

    Kwahiyo?
  17. Skyworth

    Darasa la Siasa

    Huu ni uongo ulio kubuhu!
Back
Top Bottom