Search results

  1. A

    Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

    Hakuna mwanasiasa mnafiki na mwenye nyodo kama lembeli. Inawezekana amehisi chama chake hakiwezi hata kudiriki kumpitisha ndiyo maana ameanza kuhaha.
  2. A

    Majina 403 ya wauza unga yaanikwa: Ni Watanzania waliokamatwa ughaibuni

    Unashangaa hao WASAFIRISHAJI, ngoja ubahatike kuona orodha ya WABWIAJI wa huo unga ndipo utakaposhangaa. Asilimia 99.9 ni wa mlengo wa kulia. Huoni wakati huu wa nanii, kuna utulivu mkubwa mitaani!! Hata bucha za nanii bidhaa zinalala. Zimekosa wateja.Tehe tehe tehee!!!
  3. A

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Maendeleo yanayotokana na wizi wa maliasili ya DRC.
  4. A

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    mimi nawaunga mkono kwa mbaaaaaaaaaaali.
  5. A

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Ebu tuache kuongeza chumvi. Risasi ikipita kwenye kifua hakuna uhai hapo.
  6. A

    Wilson Mukama mbona hasikiki?

    Watu wa aina ya Mukama wanaotumia kichwa hawawezi kudumu ccm.
  7. A

    Na nembo hii hatuitaki kwenye shirikisho letu

    Ni upumbavu kichwa kujaa na fikra hizo.
  8. A

    Tanganyika na Wayahudi

    A dumb is clearly known by his/her words.
  9. A

    Leo Nimeamini kuwa Hatma ya Nchi hii Ipo Mikononi mwa Vijana wa CHADEMA

    Hakika chadema ni jembe. Pamoja na ubize wangu leo nimebahatika kushuhudia LIVE wakati wabunge wa chadema wakichangia makadirio ya bajeti ya ofisi ya rais. Nimejionea mwenyewe namna vijana wa chadema wanavyolichachafya bunge kwa masuala mazito na muhimu katika taifa letu. Kwa kweli inaleta raha...
  10. A

    Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    Ni mtu mpumbavu tu anayeweza kushangalia maghorofa marefu akidhani ndiyo maendeleo. Ndiyo maana wengi wetu tumechoka na hiki chama kinacholeta maendeleo ya vitu badala ya watu.
  11. A

    President Kikwete, How do you really feel being so dependent on foreign aid?

    Kwa kawaida watu wa pwani ni tegemezi. Hili halina ubishi. Kikwete amelelewa katika jamii ya aina hiyo. Mbaya zaidi chama anachoongoza hakina dira wala mwelekeo. Ndiyo maana haoni shida kutumia gharama za safari kwa matrioni ya shilingi kwenda kuomba misaada ya mabilioni ya shilingi. Ndugu zangu...
  12. A

    A final cigarette...

    Sishangai sana maana ndivyo kitabu fulani kinachoitwa kitukufu kilivyoagiza. Nitauliza ni aya ya ngapi inaagiza hivyo.
  13. A

    Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    Hivi machinjio za kisasa kama ile ya Dodoma inayotumia mashine za umeme kuchinja, huwa inakuwaje kwa hao waislam au nyama inayotoka hapo hawali?
  14. A

    Kesi ya Lwakatare .. KWEISHA..!!

    Mwigulu = Shetani
Back
Top Bottom