Search results

  1. K

    nisaidieni wanaforum, huu ni utapeli ama ndo kazi zilivyo?

    tapeli huyo hata mimi kashawi kunituma mfuatilie hadi akamatwe huyo
  2. K

    Kupata Kazi Serikalini kwa GPA ya 3.4

    wewe ni mjinga sana na ningekuwa nahusika na vyeti ningekifuta kabisa
  3. K

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    Ngoja tuone maana ndio system ya siku hizi kuajiri watoto wadogo ili wawabuluze tu kwani wanajua mtu ambaye ni fresh from xl bado hajawa na utamaduni wa kuajiriwa
  4. K

    Shahada ya Sheria imeshushwa hadhi na Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Nafikiri kaka umesoma sheria lakini sheria yako haijakukomboa kutoka kwenye umaskini wa akili! Wewe umesoma sheria unataka kazi ya utawala kisa tu kazi zimetoka kwenye idara ya mahakama< wacha usomi uliopitwa na wakatik si kushushwa hadhi isipokuwa ni kila mtu afanye kulingana na alichosoma.
  5. K

    AJIRA 200 zilizotolewa Uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi

    kama habari hizi ni kweli nimefurahi sana kwa maana hii Nchi tunapoelekea ni kubaya niliwai kusikia ipo siku kutakuwa na pande mbili zinazoshindana hasa vijana watoto wa matajiri na watoto wa walalahoi! tusiishie hapo kwa taarifa ni nguvu tuendelee kujuzana wana jamii wenzangu hasa wa mikoani...
  6. K

    Swali lililojiri katika kinyan'ganyiro cha Afisa Tarafa

    mimi pia niliitwa kwenye post ya afisa tarafa bt nimeshindwa nlishindwa kufika cz sikuwa na nauli nipo musoma mara! jamani kwanini utumishi wasiwe na ofisi kila mkoa au zone
  7. K

    Uhamiaji wajitetea udhalilishaji wa nafasi ya Afisa Mkaguzi Msaidizi

    Pamoja ni haki ya msingi ya kila anayehitaji kuomba lakini ukweli kabisa bila kuficha ukweli ni kwmba afisa rasilimali watu wa uhamiaji ni kilaza kupitiliza! hii siyo hr niliyosoma darasani!
  8. K

    Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Jamani mbona mnanitisha wewe mtoto wa maskini kama mimi hacha kulia simama songa mbele hata vimemo vikiwepo mwisho wa siku mungu anajua namna ya wewe kufanikiwa tu! Mi mwenewe nimeomba bt sina pressure cz na mwamini mungu tu!
  9. K

    Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    hayo maneno ya watu wa shahada kujaza chumba ni ya kweli au swaga tu!
  10. K

    Habari njema kwa Graduate wote hapa Tanzania

    tunafurahi kwa wazo lenu zuri bt huku musoma msitusahau pia maana maisha haya hayanatofauti na ambao hawajasoma
  11. K

    Ajira za uhamiaji

    Jamani tusitishane bt anayekuwa anapata habari za uhamiaji tujulishane maana mi mwenyewe hali mbaya
  12. K

    Kwa Hiki Wanachokifanya Jeshi La Polisi Kwenye Ajira Zao Si Haki Hata Kidogo

    naona vijana wengi ni kweli mmeharibika nyani majibu mliomjibu mwentetu si mazuri na ya kiungwana hili ni swala la kuangalia kwa umakini kwa mfano mi na kazi hapa tayari lakini angalia hich wanachofanya jeshi la polisi ni ubaguzi kwa sasa pitia sheria ya kazi na ajira ya 2004 namba 7 pamoja na...
  13. K

    pccb vp bado hawajaita watu? inaonekana hizo nafasi ni deal sana eti wanajamii forum

    Watu hamfanyi shughuli nyingine pccb tu mwenzenu nimeona nianza kulima bustani ya nyanya ingawa mtaani wananicheka san eti nimesoma halafu nalima nyanya
  14. K

    PCCB:Muda wowote MAJINA yataachiwa..............kaaaa mkao wa tayari.....

    Haya bana mwisho wa siku nasema lisemwalo lipo na kama haipo laja kwa kasi sana
  15. K

    Nafasi za kazi lukuki. Tena kama una gpa 3.5 or above hapa hukosi kazi.

    Dah!mimim nin gp 3.4 jamani ingawa natamani hizo kazi
  16. K

    Wale Mnaotaka JWTZ Kazi Kwenu

    mh! nani aende akafe maana machafuko duniani yamezidi naogopa kupelekwa sudani nisije nkachinjwa bure!
  17. K

    Investigation Officer PCCB

    hacheni kutulusha we kama unakizi vigezo utapata kazi hiyo ninachowashangaa wasomi wazima mnakata tamaa mapema kama degree zenu za kukariri!
  18. K

    Ahsante MUNGU, Utumishi wameniokoa.

    hongera sana kwani wanokuziaki wamepata majibu
  19. K

    Jamani magereza vipi

    uimepitia jkt wewe?
  20. K

    Kuitwa kwenye usaili PCCB

    si mtupe data za uhakika jamani
Back
Top Bottom