Search results

  1. P

    Polisi yatembeza mabomu kwa wananchi Arusha

    Jamani nauliza - hivi hao polisi wanaishi uraiani au wako kwenye baracks??? kama ni mtaani - wana ujasiri gani kufanya hivyo???? Jamani hivi hao polisi na huyo mkuu wao - wana familia???? hivi na familia zao pia zinawaunga mkono - wakirudi wanawapa "pole ya kazi???" na kama ni wanaume...
  2. P

    Mnyika amkaanga Waziri Ngeleja kuhusu umeme

    anne makinda ........................... anne makinda............................anne makinda ............................... jamani .. tujadiliane - tumchukulie hatua gani??? kumzomea haitoshi............how do we do with this "KIBARAKA" wa mafisadi??? Great thinkers - come out with a plan...
  3. P

    Ruksa Wanaume Kuwaoa Wanaume Wenzao Kanisani

    JAMANI - HII SUMU IKISHAINGIA MAHALI - NI HATARI - WAWE WAKIRISTO AU WAISLAMU - HAO WANAHALALISHA KUWAFUNISHA NDOA KWENYE MAHEKALU YAO ....................... NI HUZUNI KUBWA KWANI KANISANI NI MAHALI BA IBADA - SASA MADHABAHU ZINATUMIWA NA MASHETANI KUFANYA UOVU HUO....................... KUNA...
  4. P

    Ingelipendeza mno kama JK na familia yake wanatibiwa hapa.........

    Ingependeza kama angekuwa na kitu mkononi - presidaa mzima - anamsalimia mtoto mikono mitupu - ukarimu uko wapi hapo??? Upendo ni vitendo si.....vicheko
  5. P

    Pinda Bungeni - Taarifa ya Mabomu kulipuka, Bunge laahirishwa

    TAHADHARI: nilimsikia mwanajeshi mmoja akihojiwa na BBC - kuhusu ulipukaji wa mabomu yajo. Yeye alitoa sababu mbili: 1. Ukatikaji katikaji wa umeme 2. Mabomu yamechoka (yame-expire) Sasa jamani TANZANIA KUNA MAGHALA MANGAPI YA SILAHA - MABOMU?? sasa kama mengine yaki-expire YANLIPUKA HOVYO...
  6. P

    Rais Asiyependa kuumiza kichwa

    sasa jamani raisi wetu si BONGO-LALA???? thinking capacity = NIL - alidhania kuwa rais ni kupigiwa makofi, kupishwa kwenye foleni, kupanda ndege kwenda majuu, kutanua na familia yake - kucheka cheka ovyo................. mwanzoni alijifanya anaenda kutembelea wagonjwa muhimbili...
  7. P

    MAKINDA: Swala la Lema sitalirudisha bungeni (Amehofia nini?)

    MAKINDA - ni mwongo ........... muoga.............. hajiamini kabisa.............. alidhania kuwaonea CHADEMA ni rahisi - amedhania ni wajinga na hawajui wanachofanya. Jambo la kwanza - ana roho mbaya sana - roho korosho - hivi yeye anafurahia mauaji yaliyofanyika arusha??? hauji wabunge wa...
  8. P

    Msaada wakuu..!!

    mh! nilidhani kufanya mapenzi - ni tofauti na ndondi au mieleka - michubuko na maumivu tena??????
  9. P

    Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

    Eti Serikali ingeingia aibu - serikali iingie aibu mara ya pili jamani??? yale mauaji Arusha ni aibu tosha - spika angemwachia Lema aseme kama alivyomwambia hadharani na kumpa muda wa kusema kuwa waziri mkuu ni mwongo ..............watanzania wote tulikuwa tunangojea kwa hamu - spika anne...
  10. P

    Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

    Ha ha haaaaaaaaaaaa - uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii - heeeeeeeeeeeeeee - hivi umefikiria je hapo kwenye red???? umenichekesha sana. :cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:
  11. P

    Namwagiza Anna Makinda Kufunga Bunge Sasa Hivi, Haraka sana

    SPEAKER - ANNE MAKINDA - anatia aibu - anadhania kuongoza bunge in UKALI - UPENDELEO - MABAVU - amekosea sana kujipanga ameaibisha wanawake waadilifu wote wa Kitanzania - ameaibisha watu wa familia yake - kwanza anahodhi sana mali huyu mama - no wonder kile kiwanja chake pale nanihii...
  12. P

    Ridhiwan anapewa escort; Kwanini?

    watoto wa OBAMA sawa - na marais wengine ughaibuni - nadhani wanaweza kutekwa nyara halafu mahela ya kuwakomboa yakawa mengi - lakini nani amteke nyara RIZIWANI kikwete??? huku utamaduni huo hatuna - na baba yake anazo hela za kulipa ramson??? zote alishatengenea mabango - hivyo RIZIWANI aje...
  13. P

    Wazazi

    shida inakuja pale ambapo - MWANAUME KATIKA NDOA NI "GROWN-UP BABY" - yaani amekuwa mwili tu lakini - akili, ufahamu, uwezo wa kuamua mambo hana - hivyo yeye kila jambo - anamwuliza MAMA yake or BABA or RAFIKI - whatever - hata kama hawakai pamoja - siku hizi jamani simu zipo - basi itabidi...
  14. P

    Mama Makinda, mimi ni mtaalamu wa saikolojia ..nitafute!

    he he heeeeeeeeeee - ATAJIJU - alidhani kupata USPEAKER NI MCHESO EHEEE KAZI KWAKE ........ simwonei wivu ila hakuteuliwa ki-halali - bado hajamfikia Samwel Sitta kusimamia bunge ------------ hilo afahamu - KUONGOZA SIO KWA KUSOMEA - NI TALENT AU KIPAJI - na yeye HANA. Kwanza lafudhi ya...
  15. P

    Waziri mkuu awachambua CHADEMA; Lema amtuhumu kudanganya

    USIWE NA UHAKIKA - MWAKA 2015 .......... KAMA ASIPOBADILIKA ................ NA KAMA CCM IKISHINDWA KUREKEBISHA HALI YA MAISHA YA WATANZANIA...............PINDA ATAIKIMBIA NCHI MWENYEWE ............PEOPLES POWER ITAMTOA ..............hakyamama vile.............
  16. P

    Sijui ni mimi tu au kuna wengine?

    same applies to chadema CHADEMA unawajua lakini??? kamwulize JK - atakueleza ............. hadi leo HAIBA YAKE HAIJARUDI - LILE TABASAMU LA 2005 - KWISHNEY akiwaza CHADEMA ..............halali usingizi .........kama huamini .........nenda KAMWULIZE
  17. P

    Elections 2010 JANUARY Kupewa kamati ya NISHATI bungeni: What is next?

    CCM wanatapa tapa - kwa aibu - ngoja wateuane weeeeeeee - kwani Kikwete si alibadilisha baraza lake la mawaziri mara kadhaa - lakini still hakuna cha maana kilichofanyika - lets call these POLITICS - mradi January yuko CCM - hataweza kufanya lolote - CCM wameshafilisi nchi - kama nasema uongo -...
  18. P

    Lowassa and Co., waliteka Bunge; Sitta, Mwakyembe kudhibitiwa

    anapendwa na CCM na sio Watanzania wote anapendwa na Maasai wasio na ufahamu - wanachofahamu ni kufuga ng'ombe nyikani so 2015 ...............dont be so sure - I dont see CCM winning na akija CHD hatutaki mafisadi - sorry to say thins but its the mere fact :sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad:
  19. P

    Ni muda muafaka wa ku-excercise ''open marriages''..?

    mbona unaunga mkono mmomonyoko wa maadili??? badala ya kuji-tune na kuzoea tunatakiwa tuji-tune na kubadilika - issue nzima ni TAMAA ZA MWILI TU AMBAZO HAZIZAI MATUNDA YOYOTE - divorce range za wenzetu (ughaibuni) ziko very high - kuachana ni mambo ya kawaida - lakini sisi bado tuna heshimu ndoa...
Back
Top Bottom