Katika kile kinachoitwa epa watu wengi sana haswa watanzania wanajisahau na kuendelea kushinikiza tu hela za epa zirudi zirudi wakati kuna vitu vingi sana hawa vigogo wa serikali wamevifanya ambavyo bado ni mali ya wananchi na wananchi wenyewe ndio serikali .Kumbuka hapo miaka ya nyuma kama...
Imekuwa kero sana kuhusu suala la wanafunzi kulipa nauli wakati kuna mi jibaba na mijimama na mijikaka haina hata iabu imevaa miguo ya kijeshi inataka kutimiza uana jeshi wao kwa kutolipa nauli ya daladala na matokeao yake kupanda kibaba kwenye magari ya watu.
hayo magari yamelipiwa na...
Habari zenu mabibi na mabwana.
Leo katika uchunguzi wa kina kirefu kama ilivyo ada nimefanikiwa kugundua makampuni makubwa yanayokwepa kulipa kodi ya Serikali kwa kubadili majina ya makampuni yao kwa kile walichokisema eti kampuni imeuzwa.
Si kweli kwamba makampuni hayo huwa yanauzwa na kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.