BURIANI MZEE KAWAWA
KIFO KIMEMPATA KATIKA HOSPITALI IPI ?
TARATIBU ZA MAZISHI ZINAKUAJE MAANA WENZETU HUWA HAWALAZI MAITI
QUOTE=Halisi;721891]Kumaliza mwaka ni jambo ZITO sana. MUNGU ashukuriwe, maana ndiye mwenye uwezo wa kupanga na kupangua. Sote tuombe Mungu.. Mengine zaidi baadaye...
Nafikiri wakati umefika tuwe majasiri kusema jambo lenye ukweli
inasemekana Freman ni mtoto wa Nyerere yaani mdogo wake na Makongoro lakini mama tofauti,hivyo ndivyo ilivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.