Maandamano ni haki yetu watanzania kikatiba na wanaopinga maandamano, na maneno mengi, ni kuvunja katiba, na kwa sababu watanzania ni watu wa Amani tunaburuzwa.
Haina haja ya katiba mpya, wakati katiba tunayo itumia sasa haifuatwi. Hapa kazi ndio Katiba Mpya, kabla tulikuwa na ,ari na Kai's mpya, befor that we had ukweli na uwazi, remember that.
Unajua kuna watu walijilimikisha migodi na engine ngalawazao zilikamatwa na Nyara za wanainchi . Jamaa wana thubutu hats mutuandakia Katiba, vipi viungu hivi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.