Hivi huko siyo kuwachanganya vijana wetu kweli. Siku zote walikuwa wapi kutoa mwongozo mpaka wanasubiri mitihani imemalizika ndiyo mwongozo unatolewa?
Duuh, yaani wamekumbuka shuka wakati kumekucha!!! si mchezo kabisa.
Ha ha ha hahaha!!!! kama habari ndiyo hiyo basi elimu kwishey, kila kukicha ni kupanga alama tu badaala ya kuangalia namna ya kuboresha miundombinu shuleni. Mmmmmh, mpaka kawambwa amalize muda wake wa uwaziri 2015 atakuwa ameifanyia KWELI sana elimu yetu kama alivyofanyia KWELI shirika la reli.
Mkuu uliona mbali, hili jambo bado lina sintofahamu nyingi naipongeza Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii kwa kuingilia kati watanzania tuambiwe lengo hasa la kushusha hivyo viwango ni nini?
Mkuu hapa tatizo siyo Bunge, tatizo ni uongozi dhaifu wa Wizara ya Elimu chini ya waziri Kawambwa ambaye hata chama chake kimesema YATOSHA. Hivyo. Iwango havifai kabisa na wala huhitaji PHD kujua hilo. Ila Kawambwa, Mulugo,Mchome na Bhalalusesa ni SUMU mbaya sana kwa elimu.
Wabunge wako sahihi...
Prof Mchome na Bhalalusesa mmethubutu, mmeweza kwa sababu mnajua nchi hii nani awaulize nini? Hivyo mmejitengezea uhakika wa kuzidi kusonga mbele.
Kama kuna siku hawa maprofesa wa Wizara ya Elimu yaani Prof. Sifuni Mchome na Prof Bhalalusesa wamenifurahisha na nitawapenda daima ni leo. Hakiki...
Mkuu umenena. Nchi hii inataka mafisadi tu ndiyo wanaonekana watu wa maana. Ukiwa mchapakazi unapigiwa mazengwe usiku na mchana ili mradi wakuvuruge tu. Tuna safari ndefu na madaraja yote njiana yamebomoka kufika ni next tu impossible kwa style hii ya majungu tene kwenye Jukwaa la Elimu...
Kama ni kweli Huyo Mbunge Saidi Mtanda ana undugu, au urafiki na Kawambwa basi naweza kusema kuwa Kawambwa ni Waziri DHAIFU SAAAAAAAAAAAANA kuliko waziri yeyeto katika historia ya nchi hii kwa sababu yeye ana mamlaka ya kumwondoa Ndalichako kwenye nafasi ile, sasa kwa nini atumie nji za kishamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.