Search results

  1. E

    Njiani kuelekea theatre: naomba sala zenu...

    Nimekkbali,hapo umejasirika,uzoefu ni kujua n kupambana na mambo mengi. Usisahau kusali.
  2. E

    Baada ya kuona picha hii, nimeanza kuwa na wasiwasi na mambo ya SAPRAIZI

    Watu wa sai-kolo-jia,wanadai wanawake wana cheat xana kbla y kuolewa kw 7bu hawana uhakika nani atawaoa,na wanaume wana cheat xana baada ya kuoa wakiamini kwmba nyumbani kuna ulinzi ngoja waendelee kuonyesha ulijali wao kw wengine.
  3. E

    mhh nimechoka wala sijafika mbali?

    Waswahili(wahenga) cio wapumbavu hata kidogo. Wana-uzoefu mzito wa muda mrefu kuhusu masuala ya maisha.Walisema,fimbo ya mbali hai-ui nyoka. Ulivyoumbwa utavutiwa na kukitumia kile kilichokaribu yako.Matumiz y cmu na email yko limited kwny mambo fulani tu.Kwa 7bu unadai umechoka,mwambie...
  4. E

    Mchumba Amenibadilikia ( sheria zinazidi kila siku),, nifanyeje?

    ushauri cio kitu kibaya,ila cio lazima kuufuata.Kuacha kitu kw ghafla cio healthy,kila mtu anamazoea yake,cio rahisi kuacha ulichozoea hasa kw miaka kadhaa.Alikuwa wp cku zote? Au ali-assume wewe mpita njia tu?Kama umekunywa kw aka zaidi y cta,na kuacha utaacha kw aka kadhaa.The body z...
  5. E

    school

    mdogo wangu nilimpeleka chuo akiwa around 21,na mungu alimsaidia. Imani mbele ndugu.
  6. E

    Daladala zaenguliwa D'Salaam

    Hiki ni kpnd cha mpito(transition period),tuvumilie kije,by mwakani tuta-settle tu.Wahusika wasichoke kupokea ushauri na maoni.Mungu ibariki TZ.
  7. E

    Unaujua ukweli kuhusu hili...?!

    Ujue nn,kiushindani inabidi uanze kwa kufanana kidogo na mshindani wako bila kuvnj sheria.Ndio maana azam,azania.Kisaikolojia mteja atanunua yyte akiamini zinafanana kwa ubora.
  8. E

    Pc Jafari kauawa na majambazi mbeya,wana Jf kimyaaa!

    Jamani inatosha,naamini ndugu yetu ashatusoma sasa.Tumsamehe,au vp?
  9. E

    Mwanahalisi lashinda kesi.

    Kusemasema sana sio dili.TUmepewa chanzo,tukifuatilie tujue kw kina.Daima ucpuuze tetesi,zibebe zifanyie kazi kama una nia,kama huna nia TULIA.
  10. E

    Dillema . . .

    Ni bahati sana kumpata mtu aliyekamilika,na nature inaonyesha hata ukimpata usumbufu utakuwa sehemu ya maisha yako. Hayo ndo matatizo ya kuonjaonja,uamuzi wa mwisho unao mwenyewe.
  11. E

    Mtaji Nnao, Wazo nnalo, nnahitaji watu wa kushirikiana nao

    Yes,you are a real man. Naamini utapokea changamoto nyingi,km maswali, ya maana na ya kipuuzi. Utapokea ushauri pia. Bnfsi,nina taaluma nyngne,na pia nina kz. Namuomba Mungu, atusaidie, watu kama wewe waongezeke Tz.Pmj cna.
  12. E

    ajira mpya serikalini adi february 2013

    Wabongo lawama nyingi za nini? Mtu kakugea tetesi,kama kweli una shida zifanyie kazi. Kuna mambo mengine hayajawa wazi bado,yapokee hivyohivyo nyuma ya pazia yasipo kuwepo si basi.
  13. E

    kwa wasio na ajira walio Dar es salaam inatuhusu.

    Mtu mzima hiyo nimeipenda. Niko pnde za mkuranga ila umenivutia kujoin. Kucmama kwa dili hilo kutawachochea ht wtu wa mikoani wapate mzuka. Uschoke kupokea shauri za wat mblmbl. Kikao cha mtu 100 zilizoenda darasa,kitaleta majibu yenye tija na mashiko. Kumkubali mtu sio lzm umjue,bnfsi...
  14. E

    Mademu wa KISUKUMA ORIGINAL, Bila ya Mkorogoooooo

    Ulimbukeni unatusumbua watz,kuna maneno tunayatumia ktk shm zisizostahili. Uzungu mwngi hauna maana. Dada zangu wametumia kemikali kibao eti olijino. Tafuteni kamusi ili muamshe akili zenu. Jaribuni kuongea vitu tija na mashiko ili tupate faida.
  15. E

    maelfu wamiminika DUCE.

    Ushauri mwng umeegemea kwny kilimo,lakini sio kila mtu ana ubavu wa kupa-fomu pande hizo. Ukweli ni kwmb kuna jambo la kuthubutu serikali inabidi ilifanye kama kurekebisha baadhi ya sera zake na ucmamizi afu si wengine tufuate. Kumbuka kuthubutu ni kipaji na mafunzo,mambo hayaendi kienyeji.
  16. E

    TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

    ujue nini,afya ndo kila kitu kwa sababu kutfta elimu,kipato,familia na mengineyo kama kusaidia wasio jiweza,kunategemea sana afya ya mtu husika,tuendelee kuithamini wajumbe.
Back
Top Bottom