Search results

  1. scramble

    Barua kwako Mzee Joseph Sinde Warioba

    kama una akili, mleta uzi ungemshauri warioba akatulie nyumbani kwake asubiri siku ya kupiga kura apige kura ya HAPANA. warioba kuendelea kuikosoa katiba pendekezwa, kimaadili ukizingatia yeye ni jaji, anakosea. mnajua kwa nini hakimu au jaji huwa anajitoa kusimamia kesi iwapo mtoto wake au...
  2. scramble

    Kongamano la Tasisi ya Mwalimu Nyerere kufanyika Arusha (Barua kwa waandaji wa Kongamano )

    warioba angeachwa na akiachwa aendelee na blabla zake, atalipasua taifa. hatupo tayari kwa hili
  3. scramble

    Kongamano la Tasisi ya Mwalimu Nyerere kufanyika Arusha (Barua kwa waandaji wa Kongamano )

    leo ndiyo mwisho kwa warioba kuhudhuria kongamano lolote kuhusu katiba. polisi lazima watazuia kongamano hilo kwa sababu ya hofu ya kuvurugika amani. kwa heri warioba
  4. scramble

    Butiku atema nyongo asema CCM inafuga majambazi, majangili na mafisadi

    tumechoshwa na matusi ya butiku na mwenzie warioba. kwa nini hawahamii huko ukawa?
  5. scramble

    Tazama Maandamano ya CHADEMA Bukoba yalivyofanyika kwa aman na utulivu

    chadema kilaaniwe. mijitu mijinga. mbowe yuko south na lucy wanaponda raha eti wao wanaandamana. mlaaniwe na ugaidi wenu
  6. scramble

    Rasimu ya Katiba inayopendekezwa 2014

    nani aliwaambia ukawa watoke bungeni? pumbavu zao
  7. scramble

    Rasimu ya Katiba inayopendekezwa 2014

    huyu hellen kijo arudi kwao burundi. atuache na ujinga wetu
  8. scramble

    Ridhiwani Kikwete na speed ya maendeleo Chalinze

    ridhiwani ni mfano wa kuigwa. hongera sn! uzi huohuo
  9. scramble

    Askofu wa Katoliki aeleza njia mpya kuzuia Katiba

    hawa maaskofu wa kanisa katoliki wanataka kuandaa mauaji ya kimbari kama yale waliyoyaandaa Rwanda? pumbavu zao
  10. scramble

    Askofu Mokiwa: Bunge la Katiba linaloendelea ni uhaini na ubatili mtupu

    pumbavu zake mokiwa. mwizi mkubwa
  11. scramble

    Wakati wa Vijana CHADEMA umefika, ni maandamano nchi nzima

    vijana wa chdm ni wakati muafaka kuandamana nchi nzima kukataa kuonewa na akina slaa
  12. scramble

    Pongezi kwa Mwenyekiti wa Chadema

    kiongozi gani anaevunja katiba kwa kuibadilisha mara kwa mara ili aendelee kutawala? chdm inatia aibu. tulidhani mbowe atatofautiana na lipumba, seif, cheyo na mrema ktk kung'ang'ania madaraka kumbe ni walewale. pumbavu mbowe! hivi ccm wakiamua kugusa katiba kwa kumuongezea kikwete muda chdm...
  13. scramble

    Prof. Shivji aitwa Bunge Maalum la Katiba kupigia msumari wa serikali mbili

    tume ilivunjwa siku nyingi. wajumbe wa tume hawana nafasi tena ya kuitwa dodoma. kabudi na warioba wakae kimya. hii ni zamu ya bunge la katiba. zamu yao ikimalizika katiba italetwa kwetu wananchi. Mungu amuongoze shivji ili awashauri vizuri na hatimae tupate serikali 2 zilizoboreshwa
  14. scramble

    Wananchi: Mdahalo umetufunza mengi

    katika kipindi hiki ambapo bunge la katiba limerejea, nashauri serikali IPIGE MARUFUKU midahalo yote ya katiba. ikiruhusiwa ni kama kushusha hadhi ya bunge
  15. scramble

    Dr. Slaa, hivi umezoea uongo au umejisahau!?

    Maskini Slaa mzee wa watu kachoka. Slaa ushawishi wake kwa watanzania umekwisha. sasa hivi ni scrap
  16. scramble

    Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

    Mbona unahamaki dogo! wewe unaangalia dini ya mtu au uwezo wake wa kuiongoza Tanzania na kutuletea maisha bora na maendeleo? Pale ikulu Rais anaongoza ibada hadi uangalie dini ya mtu!? achana na fikra mgando za kizamani dogo!
  17. scramble

    Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

    makamba ni chaguo bora kuwa Rais ajae. Tumuunge mkono.
  18. scramble

    Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

    umesahau kuwa uhuru ameongoza kundi lake la mungiki kufanya uhalifu kenyya kwa zaidi ya miaka 10?
Back
Top Bottom