Search results

  1. D

    dell E6420 i5 for sale

    nauza dell E6420 i5, 2.5ghz speed, 250gb hdd, ram 6gb, webcam, fingerprint, built in modem ina kasoro moja, haitoi sauti spika za nje ni tatizo toka kiwandani ni mpya, haijatumika bei laki 6
  2. D

    Natafuta Mchumba - very serious

    hello jf Nina miaka 27, kijana wa kiume, mkazi wa dsm , elimu yangu ni shahada ya uhandisi, mrefu wa wastani , pia mwili wangu ni wa wastani na rangi ya kunde. napendelea mpira wa miguu, kuogelea na muvi. situmii pombe, sigara wala sio mtu wa club za usiku mimi ni mkristo, kabila yangu mjita...
Back
Top Bottom