Search results

  1. M

    TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru afariki dunia! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    RIP comrade..poleni sana wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki was familia ya mzee Kingunge Ngombale Mwilu. Taifa limempoteza mzalendo wa kweli...
  2. M

    Jeshi la Polisi lapewa siku 90 kuhakikisha mitambo ya LUGUMI inafanya kazi vituo vyote

    Ukisoma hizo sentensi kwa umakini wa dhati utagundua tatizo kubwa na ufisadi wa kutisha! Hata hivyo kwa vile tuna mazoea ya ushabiki kwa mambo ya msingi kupitia kwa kauli ya NS hoja hii imekwishachakachuliwa na wabunge kupitia kmt iliyoundwa wamrtumia fedha za walipa kodi kufanya utalii. Ukweli...
  3. M

    Said Lugumi avunja ukimya, atoa taarifa kwa vyombo vya habari

    Acheni wezi waitwe wezi! Mahakama ya wahujumu uchumi inachelewa. Risasi au upanga Ni halali Yao!
  4. M

    Leo nayatoa ya moyoni

    Pole sana ushimen. Hayo yanatendwa na wadada wengi tena ambao huwezi amini kwa staha zao. Simama upya songa mbele na maisha achana na kicheche hicho
  5. M

    Mwanaume bumburuka acha uboya wa hivi

    Wake za watu michepuko balaa! Na mbaya zaidi wanahonga kupindukia. Wanasingizia kwenda kwenye vikao vya harusi,kitchen party au kutembelea wagonjwa! Tena Ni wamama wanashabikia mashindano ya ngono za michepuko mama ufahali
  6. M

    Mwanaume bumburuka acha uboya wa hivi

    Haya Ni majanga! Wake za watu wamecharuka kwa michepuko na wanahonga vizuri! Ikiwa Una rafiki anae deal na cyber crime mwambie akufyatulie vilivyopita kwenye simu ya mkeo unaweza zimia! Wanachepuka kwa visingizio vya vikao vya harusi,kusalimia wagonjwa,kitchen party nk. Mimama mingine mijitu...
  7. M

    Kwa mwendo huu, wanawake watakuwa mpira wa kona

    Hao wa hivyo wapo wengi Ni gear ya kupandisha day. Mkaushie imuume
  8. M

    Makongoro: Lowassa sikumuona Vita ya Kagera, Labda alikuja baada ya vita kuburudisha wanajeshi

    big up mako utaendelea kijulikana. songa mbele. hata machifu walikuwa wanashiriki na wananchi wao kibuyu.
  9. M

    Hivi inakuwaje mke anakuwa msiri kwa mumewe, je anajiandaa kuachika?

    hiyo noma! kwani mpaka mnachukua uamzi mzito wa kuoana bado tuu kuna viini macho? wanawake wengi hujibadilisha tabia kabla ya kuolewa. mara baada ya ndoa ndio uhalisia huonekana. uchoyo, roho mbaya nk.kwa kweli wanawake wa kiafrika ni majanga. nimefahamu kwa nini jamaa walikuwa wakiishia kuoa...
  10. M

    Kumbe Makongoro anaongea kama baba yake?

    Kwa jambo hili mfano wa marekani ni sahihi kabisa kwa watu wenye fikra mgando kwa watoto wa viongozi wastaafu kugombea. Je ukiwa mtoto wa mhandisi ni dhambi kurithi kazi ya mzazi kama una sifa? Tuache ukenge..hivi mwanaume gani lijari ambaye hapendi wanawake? Msitufundishe ushoga..p.
  11. M

    Tumwambie mumewe ukweli au?

    Hilo ni janga! Mama mtu mzima ovyo. Koleo halibadilki kuwa kijikoTafuta tafsili ya neno maadili kisha endelea na uamzi sahihi.
  12. M

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Hao vijana wawili ukimuondoa mchemba nI product ya rostam
  13. M

    GUNINITA: Simuachi Makonda pamoja na u-DC wake, Kortini lazima

    Uteuzi Wa makonda ni aibu kwa mwenye mamlaka! Zawadi yake kwa kufisadi bmk
  14. M

    Nyerere ajificha kwa Wassira

    Historia ipi inaonyesha hizo sifa? Ni dalili za kuvembewa na uji wa mtama!
  15. M

    Nyerere ajificha kwa Wassira

    Shame on you! Nyerere sio Wa kulinganishwa na figures hizi ovyo ovyo!
  16. M

    Wassira: Nitagombea urais 2015

    Humjui bw Stephen Masatu vizuri! Hana hata sifa kiduchu kwa nafasi hiyo. Sifa zake za ziada ni mnafiki/mbinafsi/mtu wa visasi/ roho mbaya/ mpenda madaraka/ mtu wa fitina! Anajaribu kufikia mafanikip ya Mh Jaji Sinde warioba au kumpita. Ndiyo maana aliongoza kampeni kwenye bunge maalum la katiba...
Back
Top Bottom