Search results

  1. S

    Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP waelekea Mtwara kusaka suluhu!

    Huku ndugu zetu wakiendelea kufariki na kupata hasara kutokana na vurugu za mtwara serikali pamoja na wanakijiji wakae chini na kuangalia tatizo hili siku zote vita na vurugu kati ya watu kwa watu zinaanza hivihivi siombei jambo lifikie huko lakini sisi sote ni watu wamoja kwanini ifike hatua ya...
  2. S

    African political thoughts

    What are the relevances of African political thougths to our contemporary African politics?
  3. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Leo zanzibar ina azimisha mapinduzi ya ukombozi kutoka mikono ya watumwa. Je ni fundisho gani serikali hii imelipata katika uongozi bora na upendo kati ya wenyewe kwa wenyewe
  4. S

    Taifa bora

    Twaweza kulijenga taifa letu katika maadili mema kwa kulirudisha azimio la arusha ambalo lilikuwa na maadili na miiko ya uongozi
  5. S

    Rufaa katika chaguzi

    Kuna umuhimu gani wa sisi raia wa kawaida(sio wanasiasa) tukapewa mamlaka ya kwenda kukata rufaa kwa wagombea mbalimbali ambayo tunasababisha gharama nyingine zisizo za msingi kwa taifa letu wakati huku bado ndugu zetu wakiendelea kupata matatizo mbalimbali
  6. S

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Mgogoro huu ni vema Tanzania tukapeleka jambo hili katika mahakama ya kitaifa ya usuluhishi {ICJ} ili tuweze kufikia utatuzi wa busara na kuondoa misuguano hii isiyo na tija kwa mataifa haya yenye mipaka ya karibu na urafiki wa mda mrefu.
  7. S

    Mtazamo wangu juu ya siasa

    Ninaona ingekuwa vyema kama vyama hivi yva upinzani vingepewa umuhimu wake katika kutenda kazi zake ili kukuza democrasia
  8. S

    Mtazamo wangu juu ya siasa

    nini chanzo cha mvutano wa vyama vya siasa
  9. S

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    naanza kutambua wengi hatujui nini kazi ya mbunge na serikali; mbunge ni kama mwananchi na kazi yake ni kupiga kelele bungeni kuhusu jimbo lake na ndiyo kazi anayofanya mh mdee pamoja na wabunge wote wa CHADEMA na serikali ndiyo inachukua mawazo so mtendaji ni serikali tusilaumu na kuviziana
  10. S

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Tunaona na tunakumbuka mh mdee alivyoachiwa jimbo lilivyokuwa katika migogoro ya ardhi na akatumia nguvu yake ya ziada katika kutatua changamoto hizo ikumbukwe kuwa jimbo la kawe ni moja ya majimbo yaliyokuwa yanaongoza kwa ufisadi wa ardhi lazima mtambue kazi kubwa aliyofanya mbunge wetu katika...
  11. S

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    ndugu unapotoa taarifa bila kuwa na uchunguzi wowote unakosea tuulize sisi tunaokaa katika jimbo hili la mh mdee na tunaona kazi anayofanya usiwe mpiga kelele wa kutumwa ovyo. tunakubali kazi ya mnyika na mdee kama wabunge wetu makini
  12. S

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    huu ni utafiti usio na mashiko yoyote
Back
Top Bottom