Search results

  1. Yegoo

    Nchimbi anaibua Mazuri ya Serikali dhidi ya Mabaya Machache, Makonda anaibua Mabaya Mengi dhidi ya Mazuri machache kati yao nani Bingwa wa Siasa?

    Ngoja waendelee kujitekenya na kucheka wenyewe, Nauona Upinzanzi ukiwa na hoja nyingi sana kwenye majukwaa kwenye uchaguzi WA SERIKALI za mitaa, upinzani wapate vijana AMBAO SI machawa 😂😂😂 Wala BANGI MAJI, MAKONDA alibua Mabaya kwenye Mazuri machache, juu ya wananchi na SI juu serikali Unaenda...
  2. Yegoo

    Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

    Hadithi tamu sana ila mdomo maneno yanaumba, Kwa hyo utakua umecheza na saikoloji tu kuwa Ipo siku lazima LISU AONDOKE CHADEMA
  3. Yegoo

    Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Na vipi Hela wanazojikopesha, na hazirudi kukopi mambo ya Korea kusini TAIFA ambalo liko mile 1000000000 zaidi yetu Kwa Kila kitu ni uzwazwa Umeme tu shida hyo mifumo SI ndo itadukuliwa umeme ukiwa umezima na kuchota Hela zote, naona kama Mzee wa SKAFU SHINGONI ANATIKISA KALAMU NJISI SHA-BABY...
  4. Yegoo

    Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

    Umenikumbusha swali ulilowahi kumuuliza Hatati MAGHUFURI Kwenye kikao Cha wahariri WA vyombo vya habari kama sikosei, Kuna swali uliuliza lenye mrengo huu Alikutania Kwa Jina lako Kisha Akakuuliza Nani anatafuta Hela kati ya SERIKALI ,mahakama na BUNGE😂😂😂
  5. Yegoo

    Kwa jicho la mbali, Makonda alikuwa anajijenga yeye na sio chama

    MAKONDA NI MAARUFU TOKA ANAZALIWA, alishakua maarufu kabla na baada, means ni umaarufu wake Upo damuni, Dhahabu safi ni ile inayopita kwenye moto mkali, KWANINI MAKONDA ATIKISE kila KUTEULIWA na kuenguuliwa kwanini asiwe mwningine, kwanini asiwe NDALICHAKO KUJADILIWA😂😂😂
  6. Yegoo

    Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Hana Hisia tena na wewe tena kama mume wake,kakuzoea, kama hujawai kumcheat( kuchepuka na akajua) Rudisha urafiki kwake mfanye kuwa RAFIKI katika maongezi, na utani mdogo mdogo, na kumsifia sifia nifanye kama na wewe siku hizi hutaki mambo hayo😂😂 Kwa zoezi Hilo ndani miezi 3 aspobadilika jua...
  7. Yegoo

    Mwanamke unavumilia siku ngapi kama hupewi tendo la ndoa kabla hujaamua kwenda kwenu?

    Vitoto vya mwaka 2000 na 2005 ni shida tupu Sio Hadi mtandaoni shida NENO LA AIBU KANALIANDIKA ZIMAZIMA BILA HATA KUWEKA TASFIDA @Wanajiita watoto WA MAMA KIZMUKAZI😂😂
  8. Yegoo

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Jitazame kwanza kama umekamalika kweli kuwa mke WA mtu na si MWANAMKE WA MTU Mume Anaitaji mke katika Ndoa, kama uko na vigezo vya mke,bhas hao unaowaita wachumba yawezekana unakutana na WAVULANA😂😂😂 WAVULANA NDO WENGI SANA WANAUME WENYE SIFA ZA KUITWA MME WA MTU, TUNAZIDI KUPUNGUA KIZAZI CHETU...
  9. Yegoo

    Wakatoliki boresheni Ibada zenu

    Tunaenda na muda mkuu, fikiria tuna ibada 3, alafu Kila ibada wamesali wageni 30 au 50, muda SI utatumika kutambulishana Kama ni mgeni umekuja RC subiri muda WA sadaka toa SADAKA Yako NENDA NA BARAKA TELE haya Kila mtu akujue sisi HATUNA hizo habari😂😂
  10. Yegoo

    Kumtenganisha Mbowe na CHADEMA haitawezekana kamwe

    MBOWE aachie ngazi, Acheni kujifanya wana demecrasia WA maneno, Ruhusu fikra MPYA na maono mapya yachukue Hatamu, MBOWE anatakiwa KUNG'ATUKA, hojaya kusema et upinzani utakufa,porojo nyingi Upinzani ulikuwepo hata kabla ya MBOWE, Vijana wanazaliw,wanasoma hawatajua hizi habari za ccm kujenga...
  11. Yegoo

    Buriani Mzee Ruksa: Ni Deng Xiaoping Wetu wa Mageuzi ya Kiuchumi, Demokrasia, Haki za Binadamu na Uhuru wa Habari. Asante kwa Ruksa Zako, Pumzika!

    Ndg mayalla huwa nakufatilia sana ila umetukatili sana Leo kutupunguzia Nyama na minofu kwenye hili andiko 😂😂😂 nilitegemea kupata minyama kama Yote humu Barikiwa sana
  12. Yegoo

    Je, Makonda ni asset au liability kwa CCM?

    haya maswali kayaulize mtaani Toka Huku Dunia ya kidole gumba, utapata majibu sahihi KUHUSU makonda
  13. Yegoo

    Godbless Lema bado hajakomaa na kupevuka kiakili katika masuala ya siasa

    Sahihi kabisa Mi nakumbuka hawa chadema lowasa huyu huyu alitajwa Hadi kwenye RIST OF SHAME YA TAIFA NA MGOMBEA WAO WA MWAKA 2010 Dkt SLAA kuwa ni fisadi fisadi fisadi, Kisha wakampamba tena kuwa SI fisadi ila waliobaki ccm ndo mafisadi😀😀 Naungana na maneno Yako kuwa hawa jamaaa hawajakomaa...
  14. Yegoo

    Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Hyo namba Moja nakupinga, hyo hali sio uzeee
  15. Yegoo

    Msiba wa Lowassa, Makonda ahairisha Ziara zake

    Vijana WA abavicha kweli Kuna muda mnakua hamunazo Hivi kati ya vijana na viongozi wa kitaita WA vyama hivi kati ya chadema na ccm walianzisha mashambulizi dhidi ya LOWASA TUANZE NA ILE LIST OF SHAME YA SLAA, Hadi maneno ya Akina MUSIGWA LISU NA WENGINEO WOTE WA CHADEMA, R.IP Lowasa
Back
Top Bottom