Search results

  1. M

    mtoto halali usiku

    habari wana jf....nimejaliwa kupata mtoto wa kiume ambaye kwa umri ana mwezi na nusu sasa...mchana kutwa anashinda amelala akiamka ni kunyonya na kuendelea kulala..amekuwa akilala hadi saa tano au sita usiku baada ya hapo akiamka ni halali tena ikibidi hadi asubuhi...kwakweli napata shida...
  2. M

    Kuandika list ya majina ya wanawake uliowahi kuwa na uhusiano nao wa kimapenzi

    Habari wanajamvi...hivi inakuwaje mtu unaandika list ya majina ya wanawake uliokuwa na uhusiano nao wa kimapenzi tena wadada sio chini ya saba..then mpenzi wako akikuuliza ya nn???? huna cha kujibu na zaidi akitaka kuichukua hyo diary ulipoandika hayo majina unaonekana kukwazika na unaificha...
  3. M

    kupata mimba

    habari jf doctor...nilianza kubleed tarehe 24/11/2012 na nikamaliza tarehe 28/11/2012...je ni siku gani ambayo ningeweza kupata mimba..msaada
  4. M

    hello guys...

    hello guys..am new in the forum so will be gratefull and thanksfull kama mtanikaribisha kwa mikono miwili....:attention:
Back
Top Bottom