Search results

  1. K

    Felician Barongo wa Mzumbe University

    Another rubbish post, hapa jamii forum hatupost upuuzi na majungu yasiyoweza kudhibitishwa. As far as I know part time programmes zetu nyingi zinajumuisha watu wengi ambao wanatoka makazini au kwenye shughuli nyingine ambazo zinawafanya wanafunzi wengi wakose muda wa kusoma na kujiandaa vizuri...
  2. K

    Tanzania National Identities

    JK is a joker!! sijawahi kusikia serious president ana negotiate na mafisadi!! haki za binadamu -upuuzi mtupu.
  3. K

    Tanzania National Identities

    Sijaisoma hiyo hotuba ila kama ni kweli ninachokisoma kwenye magazeti ni sahihi kuwa rais amewapa mafisadi wa EPA muda mpaka tarehe 31 kurudisha fedha au kupelekwa mahakamani kwa sababu za haki za binadamu basi JK ni rais bomu kuliko wote waliopata kutokea Tanzania!!! double standards tupu...
  4. K

    Mnyika, Balille, Rostam Aziz na kisa cha sms!

    Kama ni kweli,hakuna shaka kwamba kumtumia mtu msg za namna hiyo ni tabia za 'utoto' maana inaonyesha mnyika ameshindwa kukabiliana 'hisia' zake'!! With due respect, Mnyika unahitaji kukomaa kisiasa katika hilo eneo...maana mimi ninavyofahamu tabia za kutumiana msg za matusi/hasira ni za 'kitoto.
  5. K

    Masoud Kipanya na Fina Mango wa Clouds FM

    Who give a damn on what they are doing, let's discuss issues not people or events wakubwa! Nadhani tuwaache tu wafanye au kuchagua wanachopenda.....kuna watu wengi sana wanaacha kazi na kuajiriwa!! Naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom