Search results

  1. Suprise

    Naomba ufafanuzi kuhusu chanjo ya homa ya ini kwa Wajawazito

    Habari wana kukaa, Naomba msaada nna ujauzito wa mwezi na siku kadhaa. Naomba kujua kama ina madhara nikimaliza chanjo ya homa ya ini imebaki moja natakiwa niichome mwezi may. Je inaruhusiwa au ina madhara kwenye ujauzito Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Suprise

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    maisha ya mahusiano yamepoteza upendo, msisimko, huruma hakuna , ni kusalitiana tu, baba mmoja naweza kua na watoto 5 wa single mothers na asiwajali , ukijua hayo ni kutulia tu na mwanao ukalea uepuke pressure Mais
  3. Suprise

    NAOMBA MWENYEJI HUMU ANIPE MUONGOZO

    kw kweli u mwenyeji, wapi naweza jiweka
  4. Suprise

    NAOMBA MWENYEJI HUMU ANIPE MUONGOZO

    ngoja nifikirie jinsia kwanza, wapi kuna upungufu
  5. Suprise

    NAOMBA MWENYEJI HUMU ANIPE MUONGOZO

    Wazima, naomba wenyeji wanipe muongozo humu, nimekua mgeni kweli, nnaweza nkavamia makoloni ya watu bure
  6. Suprise

    Ulishawahi kujutia mchepuko?

    kuna michepuko kero jamani, mi mume alikua ananipa simu mchepuko ukipiga maana ilikua too much mume kashachoka ladha yake ye hakuali matokeo
  7. Suprise

    Nimesitisha uhusiano na rafiki wa mume wangu, hataki kukubali

    Mungu hahukumu kama binadam, dada amejutia mnataka alieje ndio mjue, by the way hapa amefata tu kutiwa moyo ila uthubutu kashaweka, nikushauri tu umlilie Mungu bila kuchoka ipo siku utakua huru kumueleza mmeo na atakusamehe kwa muda wake , ndoa hailindwi kwa kuogopa kusema maovu ya nyuma bali...
  8. Suprise

    Mtoto wa nje ya ndoa aja msibani na kudai marehemu ni baba yake

    mara ny mara nyingi mali za familia haziidentify ya mke ipi ya mume ipi, sa atajuaje hii ni ya mume ndo tumpe na hii ya mke mtoto huyo asipewe
  9. Suprise

    Mtoto wa nje ya ndoa aja msibani na kudai marehemu ni baba yake

    ikipimwa kwa ndugu wa karibu wa baba haitatoa real result coz anaweza kua mtoto wa ba mkubwa au ba mdogo akasi ngiziwa marehemu
  10. Suprise

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    yupo sawa kijana wangu akiwa 2 years, inawezekana kujua wanadai
  11. Suprise

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Sijui kama ni kweli kisayansi ila dr wa watoto mmoja alichek akasema
  12. Suprise

    The benefits of being a mistress

    watu wanajua kufarijiana haya maisha, no wonders pressure zikishuka ukija humu
  13. Suprise

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    sikiza moyo wako, kama huamini katika ndoa ondoka siku ukiona umuhimu wa hao unaowatelekeza hop utawarudia
  14. Suprise

    Nini zaidi huwavutia wanawake zaidi kwa mwanaume?

    awe na atlist mimimum salio kikubwa caring heart
  15. Suprise

    Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

    ni vizuri kuolewa na mtu unayempenda but ni vizuri zaidi ukiolewa na mtu anayekupenda pia, woman akionyeshwa mapenzi n care kupenda ni rahisi, go for the one who is serias, achana na huyo aendelee kuevaluate alio nao
  16. Suprise

    Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

    ni vizuri kuolewa na mtu unayempenda but ni vizuri zaidi ukiolewa na mtu anayekupenda pia, woman akionyeshwa mapenzi n care kupenda ni rahisi, go for the one who is serias, achana na huyo aendelee kuevaluate alio nao
  17. Suprise

    Wife hataki sex na mimi kabisa! Jamani nifanyeje!

    We kaka cjui unawaza nini kwa kweli. Ushamchunguza kwa njia zako ukaona hana MTU.umeuliza mama mkwe kaeleza shida akakupa ushauri. Hukubaliani na ushaur wa kwenda kwa mganga.mpeleke kanisani.mpeleke hospitality.mpeleke kwa watu wa psychology. Mkiambiwaga kwa shida na raha cjui mnawaza nini...
  18. Suprise

    Ushauri: Kaweka Picha ya Mwanamke Mwingine kwenye Profile yake lakini bado ananitaka

    Atulie kwa mda shost wako.hata kama anampenda awe single kwa mda wala asitafute bf mwengine Bali ajipe mda akili take ikae sawa na huyo bwana aendelee na uozo kwengine
  19. Suprise

    Tangu nioe sijawahi kuonja uchungu wa ndoa

    Usimwambie wife kwanza ila acha mawasiliano na ex wife . huyo mdada mwambie afanye anachotaka usiendelee mjibu
  20. Suprise

    Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

    Upo mpenzi, mekumiss ile mbaya
Back
Top Bottom