Search results

  1. K

    Mwenyekiti wa halmashauri Geita ajiuzuru

    Habari za kutoka Geita zinadai kuwa mwenyekiti alikuwa anahoji matumizi ya pesa ambazo zinatolewa GGM (Mgodi wa geita) kusaidia maendeleo ya wilaya ya geita. Pamoja na fedha lukuki zitolewazo hakuna maendeleo ambayo mtu anaweza kuonyesha wapi hizo fedha zimefanya kazi. Maana nasikia alienda...
  2. K

    Operation Chaos: Lowassa, Chenge, Rostam et al; Don't Quit CCM!

    DINGSWAYO; Nakubaliana na nawe kabisa! Mana nikweli hao mafisadi yakiendelea kubaki kwenye chama hapo ndo bazuri wanyukane VIZURI na chama kimeguke na ndoto zitimie .RIP JK Nyerere
  3. K

    Zitto, Arfi, Shibuda kujadiliwa Kamati Kuu...

    Nawapongeza viongozi wa chadema kwa kuona mabali walipo mpiga stop kugombea uwenyekiti wa chama. Swala kuwajibika ni muhimu na ZITO kwanza kwa cheo alichonacho alistahili kufukuzwa hata uwanachama
  4. K

    Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Kagera

    Mkuu hapa ni kijijini haswa na huwezi kuamini.
  5. K

    Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Kagera

    Moderator, Biharamulo iko Kagera sio Geita
  6. K

    Elections 2010 Matokeo Biharamulo (Mavota village)

    Urais ccm 376 chadema 341 cuf 13 ubunge ccm 396 chadema 322 cuf 10 udiwani ccm 315 chadema 474 cuf 0
  7. K

    Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Kagera

    Urais ccm 376 chadema 341 cuf 13 ubunge ccm 396 chadema 322 cuf 10 udiwani ccm 315 chadema 474 cuf 0
  8. K

    Elections 2010 Kikwete apendekezwa na CCM kugombea urais 2010

    JK kamchagua Dr Billali kama mgombea mwenza, na anacheza muziki kwa sana. Je, anfuraahia kuwa amepata machapakazi au anaonyesha kuwa amemuogopa kutokana na vitisho alivyo toa kama hata mchagua kua mgombea urais wa zanzibar?
  9. K

    Magazeti yapewa siku saba kujieleza - Mkuchika

    Originally Posted by Susuviri Mzee Mwanakijiji: I don't want to sound cynical but that is what I am about to write will sound like: Newspapers like other commodities is demnad and supply. Kama watanzania tunapenda kusoma malumbano ya wakubwa au kuangalia picha za ngono na ufuska, wacha...
  10. K

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    Mimi napingana na hoja za Mkandara kwamba anauliza kuwa mbunge anachaguliwa na wananchi, lakini akumbuke ya kuwa elimu ya mtu inashawishi wapiga kura kwa matarajio kuwa huyu ni msomi ambaye atakuwa ni hazina kwa maendeleo ya taifa kama alivyo ongea bwana Mkira. Kwa kumrudisha nyuma kuna mtu...
Back
Top Bottom