Nakumbuka nilikuwa Ruvu. Coy B. Nilipata kitengo cha kufuga kuku phase 2. Asubuhi lazima ubugie mayai mabichi km matatu hivi. Ukipata nafasi siku unachoma takataka unaficha mayai kwenye moto. Moto ukiisha linatokea yai km limechemshwa. Kuruta mwenzangu alikuwa A-Coy. Alikuwa anatuibia sana kuni...
Ruvu JKT tulikuwa tunatoroka thru Vimbwende. Nikamalizia Mlale. Nilikatwa bogi. Shamba lilikuwa linaitwa Dunia. Magu rudisha hawa vijana kabla ya kuanza waanze JKT,adabu ilikuwa inapendeza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.