Search results

  1. T

    KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Breaking News Uchaguzi Kenya Kurudiwa ndani ya Siku 60 Kenya Supreme Court Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    Kutoka CUF Buguruni: Kikao na waandishi chaahirishwa, Lipumba akanusha fununu za kujiuzulu

    Press Imeairishwa Mpaka hapo itakapo tangazwa tena
  3. T

    Zitto Kabwe ndani ya kipindi cha Clouds360 saa 3:30 usiku

    Kijana Niki Wa Pili anajitahid kupelekeshana na Zito ila Zitto anajitahid kuonyesha ukomavu wake kipindi kimekuwa kizuri ila mtangazaji amepwaya Sana Niki Wa pilli kaonekana Kama mtangazaji
  4. T

    Zitto Kabwe ndani ya kipindi cha Clouds360 saa 3:30 usiku

    Kijana Niki Wa Pili anajitahid kupelekeshana na Zito ila Zitto anajitahid kuonyesha ukomavu wake kipindi kimekuwa vizur ila mtangazaji amepwaya .Niki Wa pilli kaonekana Kama mtangazaji
  5. T

    TANZIA: Mbunge wa Geita Mjini, Donald Max afariki Dunia

    Jaman ... Poleni wanainchi wa Geita na Wanachama Wa Chama Cha Mapinduzi.. ila uthibitisho Wa Hizi taarifa unahitajika
  6. T

    Ikulu: Eliakim Maswi hakuhusika na uchotaji fedha Tegeta Escrow

    prof nae anatakiwa kurudi.... watanzania wenye nia ya kuisaidia inchi lazima Mungu awe nao... propanganda za wachache haziwezi kutufanya tushindwe kuiendeleza nchi heko sekretarieti ya maadili kuweka ukweli waz
  7. T

    Ikulu: Eliakim Maswi hakuhusika na uchotaji fedha Tegeta Escrow

    Sekr ftetarieti imefanya jambo lenye hekima....Sasa bado Prof
  8. T

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Hongera ndugu Makonda kuwa Mkuu Wa wilaya ya Kinondoni
  9. T

    Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    Namkubali Sana Prof Muhongo..Kuna nguvu kubwa inafanywa na watu wachache ili muhongo awajibishwe kwa maslahi yao...Kwa sababu Mungu anania nae Kwa Ajili ya Watanzania Atamuepusha na Janga hili Muhongo kaibadilisha saana wizara ya nishati na Madini na Watanzania tunaelekea kwenye neema...
  10. T

    Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

    Watanzania kujal muda hatuwez...ili kuwa ssaa 4 ikaenda SAA Tano...bado tuuu
  11. T

    Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Yaani Mchange ni Kama katoto kweliii...nahisi ni mara ya kwanza kuongea live na media
  12. T

    Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Mchange ni mhemko saana....yaan yupo kiushindani sana na nahis bado ni mtoto
  13. T

    Msigwa Katumiwa na Mafisadi katika Sakata la Kampuni ya Uwindaji kufutiwa Leseni

    https://www.youtube.com/watch?v=tbX8v4BN_g8 Hio Hapo wakuu
  14. T

    J ludovick wa Sakata la Lwakatare atoa Maoni yake, hebu tuyajadili

    Hapo chini ni maoni ya Mwalimu Joseph Ludovick kijana anaehusishwa na sakata la lwakatare akitoa maoni yake kuhusu bunge la bajeti ============================= ============================= Wakuu, Nimeona na kusikia malumbano juu ya kura ya siri ama ya wazi. Kila upande una hoja.lakini...
  15. T

    Kamati ya Bunge Maalum la Katiba hatimae imependekeza kwa Rais posho ya tshs 500,000!

    Posho Bunge Maalumu la Katiba kuwa 500,000 kwa siku. Habari zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania la Leo kwamba Kamati ya kufuatilia posho za wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba imependekeza kwa Rais posho ya tshs 500,000 kwa siku imethibitishwa ni kweli. Natoa wito kwa Wananchi wote...
  16. T

    KITILA MKUMBO: CHADEMA inakua, CCM inasinyaa, lakini kwa kasi ndogo!

    Hana kosa mkuu,ila soma.taratibu majibu ya huyo mdau utaelewa daktari anasimamia wapi..soma kwa ustadi na bila mhemko na tafakari kwa kina u will conclude something
  17. T

    KITILA MKUMBO: CHADEMA inakua, CCM inasinyaa, lakini kwa kasi ndogo!

    Tujadili wadau...kwa mapana na kwa weledi
  18. T

    KITILA MKUMBO: CHADEMA inakua, CCM inasinyaa, lakini kwa kasi ndogo!

    Makamanda, achane hasira ; kuna ukweli katika kila hoja inayotolewa hapa, tatizo ni pale inapotofautiana na kile tunachotaka kukisikia. Majiby ya Dr. Kitila nimeyapenda, yana mambo mengi ya kujifunza kwa sababu ya utalaam wa mwandishi, ingawa pia imeandikwa kishabiki kutokana na status ya...
  19. T

    Kwa Ukali Dr Kitila Amjibu Ansbert Ngurumo

    Najiuliza, mathalan 'factors' zote za sasa zikibaki 'constant' na Chadema wakampa MM Uenyekiti na M1 Ukatibu Mkuu, je Chadema ingeshinda chaguzi hizi kuliko ilivyofanya hivi karibuni? Angalia Kigoma.....! ▶ Sho
Back
Top Bottom