Mvua zilizonyesha karibuni zimeiacha barabara hii ambayo imetelekezwa kwa muda mrefu katika hali mbaya sana. Barabara hii ambayo umuhimu wake umeongezeka zaidi hasa baada ya kuwa kiunganishi na wakazi wa Goba hadi Mbezi Kimara imekuwa na magari mengi kuliko kawaida. Cha ajabu hakuna anayetupia...
Sijui wengine walipitia wapi shule. Yaani Hamia inakuwa "amia" hebu tujifunze kuongea na kuandika kiswahili sahihi. Hadi inakera utasikia ela badala ya hela, akuna badala ya hakuna, etc sijui kwa kweli vilianzia wapi. Hiki kizazi kinataka kuharibu kabisa lugha.
Akili yako inatakiwa iutawale mwili sio mwili uiongoze akili. Wanadamu tumepewa uwezo wa kuamua kwa kutumia akili na kujenga mazingira yatakayokufanya usishawishike. Kwani mwili ukijisikia kufanya hivyo si lazima unafikiria kwanza, halafu unaanza kupanga mikakati namna gani upate mwanamke...
100% posible. Na hii ndiyo design ya mwanzo ya ndoa aliyoweka Mungu. Wale wanaochagua miili yao kuitawala akili na siyo akili kuutawala mwili hawawezi. Maana asili ya mwili ni kuwaka tamaa na kutoridhika lakini Mungu amekupatia akili ya kuchagua jema na kuuadibisha mwili ufuate uamuzi wako wa...
Hata kama kukiwa na kasoro za hapa na pale ukweli lazima ubaki kuwa "Ndoa ni mbaraka kwa wanandoa wanaoingia katika misingi na taratibu zinazotakiwa"
Mungu aliyenzisha ndoa alisema "Si vyema mtu huyu aishi peke yake" Leo watu tunataka kupindua kauli ya Mungu na kusema "Ni vyema kuishi peke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.