Search results

  1. K

    nahitaji mashine ya kutotoresha mayai na chakula cha kuku

    habari mdau! zipo za umeme ni tsh 400,000 zinauwezo wa mayai 60 ni nzuri sana ila tu umemeukikatika hata dk 20 yanakuwa viza................na zamafuta ya taa ndo nzuri zaidi kwa sisi watz hizi tsh 500,000 na zina uwezo wa mayai 60 hadi 600,ni nzuri sana ...,mimi natumia hii na ninasupply...
  2. K

    incubators za kutotolea vifaranga vya kuku!

    nilisoma ktk habari za jf long kidogo............na nilona mjadala ulohusu mashine za kutotolea vifaranga ie incubators.., sasa leo nimekuwa muuzaji wa hizi...na zinapatkana kwa oda ,bei ni tsh 500,000 kwa mayai 60 hadi 500 na zinazotumia umeme ni tsh 400,000 kwa siku 21 zilezile.............kwa...
Back
Top Bottom