Hizi sanamu zipo Zenji. Tena unajua zipo wapi???? Zipo ndani ya kanisa la Mkunazini. Ndani ya Misikiti hukuti vituko kama hivi. Sijui kulikuwa na ajenda gani baina ya Maaskofu/Wachungaji na Waengereza?
Mafuta ya Zanzibar ni ya wazanzibar au ya Watanganyika au ni ya Watanzania?
Kwanza kabisa nikiwa ni mzanzibar napenda kuwapa hongera wabunge wetu wa Baraza la bunge na la wawakilishi kwa kuonesha msimamo wao kujali hali na maslahi ya wazanzibar wenyewe. Haya yote yanathibitika katika vikavyo...
Hivyo viongozi waliopo madarakani wanachokifikilia ni kipi juu ya amani ya nchi yetu. Wanafikili kutumia mabavu na khofu ndio nguvu ya kuweka amani. Sivyo kabisa. Yote ni kuendelea kujenga uhasama na kuchukiana baina ya watanzania. Na ni hatali zaidi kwa kizazi kijacho. Hivyo ni pesa au madaraka...
bana unafikiri wazungu chicha watamuacha kaka yetu awatawale. Malekani asilimia 75 ya maraisi wameuwawa. Wote ni chicha, sasa fikilia ya Obama. Amewazidi ujanja lakini hapewi kitu. tutaona kama panya atamfunga paka kengere
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.