Search results

  1. Isaac JK

    Katiba huleta nidhamu ya wanasiasa kuitumia Dola

    Duniani, Majeshi huwa hayaanzishi machafuko, machafuko huanzishwa na wanasiasa. Jeshi hutekeleza tu amri za wanasiasa. Madhaifu ya utendaji wa Jeshi hutokana na mapungufu ya busara za viongozi wa kisiasa. Nifedheha kwa wanasiasa kulidhalilisha jeshi kwa kulitumia vibaya ila ni fedheha sana kwa...
  2. Isaac JK

    Freeman Mbowe akabidhiwa fomu za kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa

    maamuzi ya mbowe ni tofauti na mitazamo ya watu wengi ngoja aongee mwenyewe ndo nitapima busara yake kama ninachokiamini ni kweli
  3. Isaac JK

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    Matokeo ya uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Walio piga kura 8,626,283 – 42.84%[/FONT] Kura zilizoharibika – 227,889 – 2.64%[/FONT] Kura halali – 8,393,394 – 97.36% 1. APPT Maendeleo – 96,933 &#8211...
  4. Isaac JK

    Nini hofu ya CCM dhidi ta Serikali tatu na kwanini yakumbatia Serikali mbili?

    majibu mazuri nataman ningepata zaidi sababu majibu haya yanatofautiana ila hoja ya msingi kwenye majibu haya ni kupotea kwa madaraka ya cccm sijui kama kuna jingine?
  5. Isaac JK

    Nini hofu ya CCM dhidi ta Serikali tatu na kwanini yakumbatia Serikali mbili?

    naomba majibu sahihi kutoka kwa waungwana
  6. Isaac JK

    Nini hofu ya CCM dhidi ta Serikali tatu na kwanini yakumbatia Serikali mbili?

    Wenye tamaa ya madaraka wameamua kutengeneza katiba inayowapendelea wao kama watawala na ni katiba iliyodharau maoni ya wananchi. Wananchi ambao ndiyo waliowaweka hao watawala madarakani. Watawala wameamini maoni ya wananchi hayana maana na ni ya kijinga ila maoni yao kama watawala kupita chama...
  7. Isaac JK

    BAJETI: Serikali kurejesha Kodi ya SimuKadi, walevi kukiona--waanze kujizoesha kunywa maji!

    sijawahi kuona mtu mwenye kichwa box kama huyu mwigulu nchemba unawaomba wananchi waipitishe hii bajet nadhani ni wajinga tu ndo watakao unga mkoni hii bajet
  8. Isaac JK

    Sherehe za CCM Dodoma Zaingia doa, Wang'oa bendera ya CHADEMA, Aden Rage ashuhudia

    siasa bana sasa jamaa alienda kufanya nn kwenye mkutano wa wapinzani wake hz syo siasa za kujitambua
  9. Isaac JK

    Prof. Mwesigwa Baregu: Mzozo wa CHADEMA unatokana na wanachama.

    mkuu yupo sawa kabisa wanasema akili za kuambiwa changanya na zako kuna tatizo ndani ya chama ikumbukwe kuwa huyu aliwahi kuwa kampeni meneja wa dk slaa
  10. Isaac JK

    Pongezi Dr. Kitila Mkumbo

    divide and rule mmmh hoja ya kitoto
  11. Isaac JK

    Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

    kuna utofauti mkubwa kati ya mapokezi ya mjini na vijijini
  12. Isaac JK

    Nape ataja mawaziri mzigo ktk serikali, aomba wapigwe chini

    asante nape kwa hili wakati mwingine huwa una akili timamu isiyo na woga
  13. Isaac JK

    Maisha duni ya maisha katika Majimbo ya Songea Mjini na Peramiho, Rorya, Bunda, Tarime

    acha hawa wangoni wapate tabu maana waliamua kuwachagua hawa watu kwa tamaa ya kanga na tshirt ona jinsi uzao wao unavyopata tabu kidumu chama cha mapinduz huko kusini huku mkiendelea kutembea peku
  14. Isaac JK

    Wajue Zitto, Slaa na Mbowe na tofauti zao

    its good to be a fool who is aware of his foolishness insteady of being a fool who is not aware of his foolishness
  15. Isaac JK

    Wajue Zitto, Slaa na Mbowe na tofauti zao

    Nianze kwa kuzungumzia mapungufu ya hawa watu wawili dk slaa na zitto kabwe ili jamii ielewe nani alianguka wapi na na wapi alianguka nani DK SLAA Kiukweli dhahama inayomkuta Zitto hivi karibuni ni baraka za dokta slaa. Dokta alilijua hili mapema na alikuwa na jukumu la kumuita Zitto na...
  16. Isaac JK

    Wajue Zitto, Slaa na Mbowe na tofauti zao

    Nianze kwa kuzungumzia mapungufu ya hawa watu wawili dk slaa na zitto kabwe ili jamii ielewe nani alianguka wapi na na wapi alianguka nani DK SLAA Kiukweli dhahama inayomkuta Zitto hivi karibuni ni baraka za dokta slaa. Dokta alilijua hili mapema na alikuwa na jukumu la kumuita Zitto na...
  17. Isaac JK

    unafiki huu wa wapinzani ndiyo kabuli lao

    haya maneno ya kusema kuwa kuna baadhi ya mambo inabidi yaongelewe ndani ya vikao vya chama yanapelekea ukweli mwingi ufichwe ivi ni kweli haya mambo mpaka leo hayajatafutiwa ufumbuzi mpaka leo ndani ya chama ukweli ni kwamba chama hakiwezi kuyatatua haya mambo hivyo basi kama ukweli humuweka...
  18. Isaac JK

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Jaman c mchezo
Back
Top Bottom