Search results

  1. Q

    Kaka yangu wa ughaibuni amenitenga

    Acha kuwa tegemezi fanya kazi namwombee nduguyo afanikiwe
  2. Q

    Tufanye kila tuwezalo Tumzuie...

    Wewe ndiyo ulolala
  3. Q

    Wananchi wamshangilia Dk. Magufuli! Asimamia, daraja la mto Mzinga lafunguka magari yaanza kupita.

    Anajoanda kuuza na madaraja. Hio itaifanya kabla ya 2015 apate mradi wa kuimgiza pesa haramu kama walivyouza nyumba za serikali na sasa zote zimepangishwa pesa mifukoni mwao
  4. Q

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko ya Makatibu Wakuu wa Wizara

    Bila shaka hii threads ni ya uongo serikali haifanyi kazi kienyeji namna hii.
  5. Q

    special kwa wanyaru

    Duu umenikumbusha mbali sana Enzi za igwachanya na kitewasi. Utamu wa ulanzi (ulasi) ni kunywa asubuhi sana ukiwa mtoogwa (low alcohol percentage)ukinywa jioni unakuwa mdindifu High alcohol percentage na huu ndo unawachonga sana watumiaji. Hongera kwa aliyegundua ulanzi
  6. Q

    Rwanda yamjibu Rais Kikwete

    Sioni tatizo kwa wanyaruanda kurudi kwao. waende wakaijenge nchi yao nasi watuachie TZ yetu. Ni ajabu wanasikitika kurudi kwao wanataka kukaa ugenini hadi lini? wengi wao wako kwenye mapori ya Burigi na biharamulo wasije siku moja wakasema eneo hilo ni lao na kuanzisha vurugu kama wanazofanya...
  7. Q

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    kama kweli anahusika na kumwagiwa tindikali watu kule Zanzibar adhabu hiyo anasitahili. auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga.
  8. Q

    Agizo la Kikwete dhidi ya wahamiaji linapotoshwa

    Ardhi ya Tanzania ni ya watanzania na siyo ya wanyaruanda na waganda, Eneo wanalochungia mifugo ni letu watanzania na ni kwa ajili ya mifugo ya watanzania. Huwezi kufugia Tanzania, uingize magonjwa ya mifugo nchini kwetu, upate huduma za kuzuia magonjwa kwa pesa ya watanzania, ukiuza pesa...
  9. Q

    Kama uchaguzi wa kata chache hizi hali ni mbaya namna hii mwakani itakuwaje?

    Hakuna haja ya kulipiza kisasi, Mzee ulimi umeteleza, siyo sahihi kwa binadamu kumpiga na kusababishia maumivu mwenzio. Hapo mzee kachemka
  10. Q

    Assume imekutokea wewe utachukua siraha gani hapo kumuazibia mwizi wa mpenz wako

    Acha roho mbaya, waache waendelee kwani hiyo kitu haina meter kuonyesha kama imetumika sana au laa
  11. Q

    Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    Mungu inusuru Tanzania na matukio haya
  12. Q

    Lukuvi na elimu yetu watanzania!!!

    MKAO WA KULA; Ama kweli unasubiri kula, ukae mkao wa kula hadi utakapofikisha 50 uone joto lake. Ajira siyo uwaziri na ubunge zipo nyingi zinakusubiri amua sasa na anza kufanya kazi acha kulalamika
  13. Q

    Aliyemtisha Lukuvi huyu hapa!!

    NGALIBA Dume ; Kama siyo mkazi wa iringa acha kuzungumza usicho kijua hiyo research (special project) yako ulifanya ili ikusaidie kupata degree au diploma yako lakini huiwezi kukupa hali halisi ya iringa. Acha wazaliwa wa iringa na wanaoishi mkoa wa iringa na jimbo la ismani wakuarifu. pole be...
  14. Q

    Aliyemtisha Lukuvi huyu hapa!!

    wakazi wa mikoa ya mwanza na Arusha wanafanya kazi sana popote walipo na wakipata pesa hurudi nyumbani kuendeleza/kuwekeza, tofauti na vijana wa Iringa ambao wakiondoka hawarudi na wakipata pesa huwekeza kule waliko na kusahau walikotoka. Nawashauri juju kwa juju hamasisha vijana wawekeze jimbo...
  15. Q

    Lukuvi na elimu yetu watanzania!!!

    well said mwakitobile
  16. Q

    Aliyemtisha Lukuvi huyu hapa!!

    Afsa mie sio kibaraka wa mtu na wala sijadhititisha kuwa huyo mnayemwandama ni std seven. kama kweli ni standard seven kama usemavyo basi elimu ya miaka hiyo ilikuwa juu kuliko PhD yako ya sasa
  17. Q

    Lukuvi na elimu yetu watanzania!!!

    Pole sana Dr Mwakabanje unahangaika na mambo madogo. eleza namna udaktari wako unavyoweza kuboresha hicho unachoona kikiendi vizuri kwa manufaa ya Taifa na siyo kumuandama mtu kwa jina
Back
Top Bottom