Aliye lala anaweza kujibu...ila alie usingizini manake kasinzia hawezi kujibu chochote!!
Sio wote saa sita wamesinzia...nipo pamoja na excel kama mtoa jibu hapo mwanzo alimaanisha kucnzia...na akiamka inabidi ajibu swali km kalala au hajalala ila asiseme amesinzia wakati hauwezi kujibu ukiwa...
Hil ni jambo la kawaida kutokea katika mabenki na hali hiyo kitaalamu inaitwa "over crediting or over debiting"
Kama kukuongezea pesa na benki ambazo hauzistahili inaitwa overcrediting au kutoa kiasi cha pesa na ukazidishiwa deni inaitwa over debiting
Haya ni makosa ya kawaida ya benki na...
@ viva89
Nashukuru kwa mchango wako ndugu, lakini kwa namna ya utekelezaji wa mikataba na sheria zingine za kimataifa utambue kuwa tupo katika mtazamo wa kidualism hadi sheria au mkataba hucka upitishwe kwa maridhio ya bunge! Na hii taratibu imewekwa na katiba.
Kuna watu naweza kusema akili zao zinahtaji ziwe formated coz hata vita ya idd amini hawajui ilikuje, wanajua historia 2!!!
Mcdanganyike na filamu mnazoangalia, vita wala swala la kujiandaa kupigana co jema hata kidogo, ucone cfa kuongea upumbavu kucfia ujinga eti mnajeshi... acha ujinga ww...
Wanajf nakaribisha maoni yenu!!
Yangu binafc coni km ni suluhu kwa maana jambo kubwa linaloyumbisha muungano huu ni swala zima la UGAWANAJI WA RASILIMALI YA TAIFA
Sasa km serikaki mbili ilishndwa je hizi tatu itawezekana!? Jibu la haraka nililonalo ni kwmb rasilimali ya taifa itatumika vby coz...
Mimi nahc chama chochote kinaweza kuwa chama tawala wakati wowote kuanzia 2015 kwa hoja kuwa
1.wananchi walio wengi bdo hawajajua maana halisi ya demokrasia
2. Siasa ya nchi hii bdo haina mashiko kukidhi matakwa ya wananchi ni siasa changa na chafu kwa wote
3. wananchi hufuata upepo na...
Kesi ya mtikila na tanganyika law society zilifanana katika kupinga mabadiliko ya kumi na moja ya katiba na kuomba kuhalalishwa kwa swala la mgombea huru katika katib yetu!! rufaa iliyowasilishwa katika mahakama ya haki za binadamu afrika, maamuzi yakawa kwa upande wa hao warufani!! Sasa...
Habari wanajf!! Mimi nataka kufahamu kwamba kwakuwa katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa tanzania ni sheria mama na ni zao la wananchi wa tanzania, na kwamba sheria za kimataifa ili zitambulikd nchini lazima zifate taratibu zilizowekwa na katiba hii!! Lakini je maamuzi ya mahakama za kimataifa...
Pole sana ndugu! Km unavyojua sheria lazima ifuatwe, na mauziano hayo yanatakiwa yathibitishwe na mkataba wa maandishi na kwa maana hiyo mauziano ya viwanja yantakiwa yafuate msharti ya kanuni za ununuzi km inavyoelezwa na sheria ya ardhi sura no.113 !
Sasa swala la kupta hati miliki inatakiwa...
Najiuliza kama wayahudi walimpakisago Christ kwa misumali msalabani ingekuwa leo unadhani nyenzo gani zingetumika na techno yote hii ya wanadamu kila kukicha tunavumbua vitu vikali vya kuuana cc kwa cc!!?
To be honest tamaduni na vitendo vyake maranyingi zimekuwa zikiweka sheria ambayo kwa namna moja au nyingine tunaheshimu utamaduni kiujumla bila kujalisha imani ila ktk kulinda amani sasa hili la kuchinja mm binafc naona ni tamaduni amabayo imezoeleka na imetijenga kwakulinda amani pacpo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.