Search results

  1. Cazben

    Kashfa ya makontena TRA tena: Ni ya Silent Ocean

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa na kitengo cha "Fast Team" cha TRA zikiwa na bidhaa mbalimbali za vipuri vya magari, viatu vya ngozi...
  2. Cazben

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    JIPU KUBWA JIPU KUBWA: Naomba Mh. Makonda alitumbue mara moja..Halihitaji nguvu za Rais!!! Hii ni kuhusu suala la kubandika matangazo katika kuta na kingo za madaraja katika jiji la Dar. Ukipita pale magomeni ama katika daraja la dart kimara na ubungo utachefuka. Watu wamebandika matangazo hovyo...
  3. Cazben

    Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    Bora umenena ukweli mkuu
Back
Top Bottom