Ajira kwa sasa full magumash. Hao jamaa hata mie nimeomba mara kadhaa na zote nnakuwa na the required qualification both, za darasanai na "uzoefu". Mara zote nimejikuta naambulia manyoya. Kali zaidi, hivi karibuni walitangaza post fulani morogoro, yaani hata deadline ya application haijakamilika...
Hi wadau. Mi mgeni sana humu ndani so kama vipi ikikosea natanguliza msamaha; B4 kuwa member niliwahi soma issue inahusu namna ya kujua kama mwenza wako ana mawasiliano na mtu mwingine na nikamtonya rafiki yangu mmoja, sasa ananisumbua sana anataka kujua the way to do that. Nakumbuka kwenye hiyo...
Huku tunakoelekea ni kubaya tena sana. Hivi kweli imekosekana kabisa busara ya kuweza kuadhibu vitendo vya hao watoto kwa njia za kiungwana mpaka tufikie huku kwenye kuchoma Makanisa as if huyo mtoto ndo mmiliki au katumwa na makanisa kufanya hicho kitendo!! What if waumini wa Makanisa nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.