mganga aloiloga serikari yetu ashakufa so kupona ni ndoto!!!!!!! But t can only end once kama tutapata serikari makini yenye watu makini and not hawa Chukua Chako Mapema CCM
Wao walikua wapi wakati Tanu inataifishwa kuwa ya wakristo???? Kama walipenda madrasa sie tulipenda vyote Mungu(kanisa) na shule so waache kuchonga wawe watendaji sio lawama...
Mwisho wa siku utaskia na CHADEMA ndo wanahuska kuichafua CCM do u think hicho kimya ni cha hkeri kweli??? Jibu tumsubiri atasemaje...Mafisadi wamesharefusha mkono tayari
Alimwambia Adela anyooshe kidole hana nia mbaya ya kumrudisha darasani.. Ni darasa lipi na Adela ni nan sasa mpoto ni zamu yake kunyoosha kidole kwan hatuna nia mbaya ya kumrudisha darasani (darasa la wazalendo wenye kujivunia nhi yao popote katika hali yoyote) by the way hana moyo wa...
Huo mkataba na wachina, sera za kidini na vijimafuta na misaada toka nchi za kiarabu ndo zinawapa kiburi waache waende ila wanamashimo mengi ya kuziba ukiwemo ulinzi bora wa nchi ambayo ni secta muhimu zaidi na yakwanza ni sitashangaa kuona wakijitenga tena wao kwa wao (wapemba na waunguja)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.