Habari wanajamvi ningependa kuuliza ofisi za GL yaan generator logistic wanahusika na mambo ya minara upande wa power transmission je zinapatikana wapi?
Ninahitaji chumba maeneo ya kuanzia ubungo hadi kimara au njia ya tegeta kuanzia tangi bovu mpaka tegeta. Asanteni nahitaji kuhamia mwanzo wa mwezi wa nane kama itawezekana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.