Search results

  1. M

    Kwenye mikataba waliosaini tanzania na china kuna inayohusu pembe za ndovu na madawa ya kulevya?

    Kumekuwa na hali ya kushangaza sana siku za hivi karibuni kwani vyombo vya habari vimeripoti sana juu ya tuhuma za SEMBE na PEMBE ZA NDOVU. Na cha kushangaza zaidi ni kuwa kila Mtanzania anayekamatwa China ni Madawa ya kulevya[sembe] na kila Mchina anayekamatwa Bongo[Tanzania ni pembe za...
  2. M

    Ccm na vibaraka wenu ni mda wa maisha bora kwa watanzania na sio kuhangaika na " chadema"

    Kwa sasa ndani ya chama kikuu cha upinzani[CHADEMA] kumekuwa kunakutofautiana mawazo kwa Makamanda wake,kiujumla CCM na vibaraka wake wamekuwa mstari wa mbele sana ktk kuchochea ufa baina ya makamanda. Huku wengine wakijifanya watabiri feki wa Kifo cha chadema mfano wiki iliyopita Mzee wasira...
  3. M

    Mpiganaji wa kweli sio lazima awe kiongozi

    Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie suala hili. HIVI ILI UWE MPAMBANAJI MZURI WA MASLAHI YA WATANZANIA NI LAZIMA UWE KIONGOZI WA CHAMA AU SERIKALI? Naomba mnisaidie ndugu zangu
  4. M

    Ubovu wa wakuu wa shule kondoa/chemba

    Ndugu wadau katika maisha ya kufanikiwa daima lazima uwe makini na unayejielewa, ila katika hali isiyoya kawaida serikali imekurupuka na BIG RESULT NOW pesipokuangalia watendaji wakuu wa sekta husika. Leo napenda kuzungumzia sekta ya elimu ktk wilaya ya Kondoa/chemba, kwa data za kitaifa wilaya...
  5. M

    Wakija na sukari waulizeni majani ya chai vipi?

    Kumekuwa na tabia ya vyama vya siasa hasa CCM kuwarubuni wananchi kwa vitu vidogo vidogo kama majani ya chai, sukari, kanga, sabuni, mchele nk ili kuwafanya wananchi wawapigie kura au wawaalike katika mkutano yao. Na tabia hii imeshaota sugu miongoni mwa watanzania wengi na hii inatoka na...
  6. M

    Mambo matatu yatakayoiondoa CCM madarakani

    Binafsi nimeangalia mwenendo wa siasa za Bongo na nikagundua kuwa kuna mambo matatu muhimu yatakayoifanya Ccm itoke madarakani. Nayo ni: 1. Tume huru ya uchaguzi. Hapa itakapopatikana tume huru ya uchaguzi patakuwa na free and fair election na ili haliwezekani bila katiba mpya. 2...
  7. M

    BRN na ubovu wa wakuu wa shule kondoa kusini/chemba

    Wote tunatambua dhamira ya kweli aliyonayo mh raisi katika kuhakikisha Matokeo makubwa katika baadhi ya sekta kama madini, miundombinu, elimu na zingine. Ila leo ntajaribu kijikita katika sekta ya elimu. Binafsi nimefanikiwa kupitia karibu shule zote za kondoa kusini/chemba na katika pita pita...
  8. M

    Wachina na nondo feki Tanzania

    Leo ii wachina wamekamatwa wakiwa wanatengeneza nondo feki na taarifa zinadai kuwa zimeshasambaa sehemu tofauti ndani na nje ya Tanzania. Kama ndivyo tunategemea nin? TUSIPOKUWA MAKINI JAMAA WATATUTAWALA KAMA NDO IVO WASHAANZA NA KUPANDA MAJUKWAANI.
  9. M

    CCM Mbulu yamebaki majengo tu

    Ni ukweli usiopingika kuwa hali ya magamba Mbulu ni mbaya tangu 2010 mpaka sasa, japo CCM wanajaribu kutumia kikundi kidogo cha sarakasi cha tumaini group kama njia mojawapo ya kuvutia watu katika mikutano yao, ila wambulu ni watu wenye misimamo hasa kwa kile wanachokiamini [CHADEMA] na...
Back
Top Bottom