Search results

  1. Udt Sangatit

    Namtafuta huyu mwanamke popote pale alipo

    Ni sheedah! Angalia nyeti zinaondoka polepole
  2. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Tunangojea hao wanafunz wanaosema wako onprocess kugawiwa!
  3. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    There z phase 2 to come, big up for all who joined da peace layout
  4. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Umeongea ki2, si wengne wanaongea km wamelala pembeni ya sink la choo! :eek::
  5. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Acha fikra zisizo na msingi ww! Mbna unakuwa km una waza kwa ku2mia u2mbo, ww unafikir utaipata kwa kusubir miujiza! Nipo na wasiwasi maana ww si bure utakuwa kimzimu fulani cha hawa SIRIKALI! Nmeshakuambia nyamaza km huna ya msingi ya kueleza!
  6. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Wacha kukatisha wenzako tamaaa! Ninyi ndyo wananchi wenye fikra za uoga Tz hii!
  7. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Kasugugu historia ysko ina2funfidha uoga! Nyamaza, pointsvza msingi huna!
  8. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Ww una matatizo ya akili nini? Unafikiri leo hayakufanyika! Vijana acheni uoga, kesho Sector ya Elimu ya Juu katika wizara ya Elimu akiwamo Katibu wa wizara huska anapaswa kutujibia yale heslb wameshindwa kujibu! Danya nyamaza maana vijana km ww hakuna uelekeo na chochote unatuambia
  9. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    matumaini yapo makubwa tu! Sema kinachonitia kichaa vijana hawaelewi haki zao za msingi, wengi 2liwaacha nyuma 2!
  10. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Report kamili wameipata na barua zimesambazwa kwenye wizara huska, km ofisi ya waziri mkuu, waizara ya elimu, kesho mchakato unaendelea kama kawaida tu! Wizara ya Elimu pale, sector ya Elimu ya Juu!
  11. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Maana huwezi 2ambia budget haitoshi wakati mnagawana posho laki 3 kwa siku! Hii SIRIKALI HAKUNA KI2 INAFANYA, HII NDYO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA AU BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA!
  12. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Ukiwa na akili za mbwa c unaweza kuandika 2 yale mawazo ya mbwa! Kuna wa2 wana akili za kuokota km za huyu jamaa anajiita Danya, mi nafikir unafanania kuitwa Dunya!
  13. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Huyu Danya ana waza km yupo kwenye shimo la choo! Waza kwa umakini ww, sio unawaza u2mbo halafu unaongea porojo, nina wasiwasi na elimu uliyo nayo wewe, itakuwa ni elimu ya madftar na haijakusaidia ki2 chochote, au unalaana ya bibi yako mzaa mama yako nini?! Maana hizo ndyo laana ambazo...
  14. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Samabaza ujumbe kwa wengne! Hakuna ki2 wanaweza ku2ambia 2waelewe hawa km si ku-allocate mkopo we2!
  15. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Usisahau kuwaambia na wengne, hamna ki2 wata2eleza! Wanakula pesa ze2 halafu wana2gawagawa kwa mafungu km nyanya, eti hawa diploma, eti hawa form 6, mkurugenzi ovyo kweli huyo na wa2mishi wenzake wote!
  16. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Haina haja ya kurusha ngumi, mi nataka tujibishane kwa hoja maana vijana 2mesoma mpaka 2lipofikia 2naweza jenga hoja za msingi za kudai haki yako! 2kirusha ngumi 2takuwa km hii SIRIKALI (serikali) maana yenyewe ina2mia mabavu na nguvu kubwa katka utawala wake! Hawana hoja za msingi na sera zao...
  17. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Haya ni maandamano ya amani! Police wenyewe wanalipwa mishahara midogo, wanafanya kazi ktk mazingira hatarishi, hawana bima ya maisha! Wanaishi km panya kwenye shimo la nyoka! Hebu nao wafunguke, sio ku2mwa2mwa 2 pacpo sababu ya msingi! Wao wajibu wao ni kulinda raia sio kupiga raia! Ukijua haki...
  18. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Hawa board wanagawa mikopo kwa rushwa na kujuana! Watoto wa maskini hawana pesa ya kutoa rushwa ndyo sababu ya msingi ya kutopata mkopo kwa mtoto maskini! Hamna kitu wanaweza ku2eleza hawa! Nini cha maana cha wao ku2eleza 2kawaelewa! Wa2pe mkopo sio pesa za walipa kodi wananunulia mashangingi na...
  19. Udt Sangatit

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Sawa Mkuu Mpatanishi! Lazima wafanye consideration maana hai2ingii akilini pesa wanazokula, wanakaa kwenye viyoyozi, wanaendesha magari mazuri na kugaia watoto wao mikopo huku mtoto wa maskini akiambulia pa2pu, hamna ki2 chochote wanaweza ku2ambia 2kaelewa mbali na kugawa mkopo wa2 2kasome!
Back
Top Bottom