Kigezo kikubwa katika kubaininsha kama nchi iko dunia ya 1, 2 au 3 ni kipato cha mtu mmojammoja katika nchi. Sasa jiulize je kipato hicho kinaongezeka au kinapungua?
Sijasahau, na nilipinga kauli ile muda huo. Mimi sisemei uCCM na UChadema, ninachosema ni kwamba mikakati serikali sasa hivi dhidi ya ushoga ilenga kuwadhalilisha victims wa mazingira yanayosababisha ushoga na kiki zaidi, huku ikiyafumbia macho na kulea mazingira yanayosababisha ushoga.
Huu ushauli mpelekee aliyewaachia huru wakosaji wa kulawiti watoto wadogo. Hivi mnajua ushoga unaanzaje? Suluhisho zuri ni kupambana na chanzo na kutoa elimu kwa wahusika, siyo kamata kamata na kutoa matamko tu.
Mh Lema, With all due respects, ongelea pia watu wako, Gambo ameruhusu vurugu za wanaCCM si dhidi yako tu, bali kwa kwa wote waliotishio kwa CCM, ikiwemo wanachadema wote, si wewe peke yako.
Mimi nikisema hakutakuwa na impact yoyote. Kuhusu kung'olewa kucha: mbona Zito anaongea na hajangolewa kucha? Kuliko kuacha chama kinakufa afadhali hao viongozi wajiuzulu wapishe ambao wanaweza kuongoza bila kuogopea kucha.
Kuzila au kususia ni udhaifu wa kijinga (sitaki kusema ni mambo ya kike maana hiyo itakuwa kuwadhalilisha mama zetu na dada zetu). Sasa kama watawala hawatatoa nafasi basi tutulie tu kama mazwazwa? Tunahitaji upinzani unaoweka mikakati ya kurudisha nchi kwenye mstali bila kususa. Kwa mawazo yako...
Hivi seriously kuna watu bado mnapromote usirisiri? Zimeanda wapi zama alizoanzisha Mkapa za uwazi na ukweli? By the way, kujadiliwa mtaani si ndo kunalipa bunge nyenzo na dhana za kujadili kwa upana zaidi na ku-address concerns za wananchi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.