Search results

  1. M

    Naomba kufahamu kuhusu Ushirikina (Uchawi) Mitishamba

    Yohana1:1-3 hapo mwanzo kulikuwa na neno naye neno alikuwako kwa Mungu naye neno alikuwa ni Mungu naye neno alifanyika mwili akaja akakaa kwetu, so no doubt Jesus is God kataa ukubali we worship what we know mnacritisize something that you dnt know*"**** soma biblia in spiritual eyes uelewe sio...
  2. M

    Ulaji wa maini!

    Yah kuna ukweli
  3. M

    Hongera KKKT Mabibo External

    Mungu akusamehe mana hujui usemalo
  4. M

    Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

    Dah magnetism ni balaa ilikuwa inaboa xana
  5. M

    Kupata mimba kabla ya kuolewa

    True love is unconditional! Ukiona kuna condition ujue uyo m2 hajampenda kamtamani!
  6. M

    Kupata mimba kabla ya kuolewa

    True love is unconditional! Ukiona kuna condition ujue uyo m2 hajampenda kamtamani!
  7. M

    Orientation week ni ya lazima au.!?

    Ni muhimu xana kuhudhuria
  8. M

    Udom madudu....udom madudu........!!!

    Tehetehetehe ww ndio madudu
  9. M

    Wako anafit vigezo hivi...!???

    Mwandishi wa hii mada is a God fearing child. I apreciate ua thread kip it up.
  10. M

    Nina mimba ya Miezi 9 natakiwa kusafiri kwenda ukweni

    Chezea kila kitu lakini sio uhai hapo unaweza kujifungua anytym baki ulipo ujifungue salama kama vipi awaite wakwe zako waje nyumbani kwako.
  11. M

    Tuwajenge watoto katika msingi mzuri wa kuomba na kumtegemea Mungu

    Hii ni thread ya maana na ya heshima sana big up mkuu.
  12. M

    Maajabu ya first year muhas

    Powa nimekupata but hata hao wakuokoteza from other school ni wa ukweli kinoma hawa marian wanapumulia 2 mashine maana life la muhas ni hatari ya danger.
  13. M

    Maajabu ya first year muhas

    sio kilakala 2 kuna wasichana wa ukweli toka tabora girls na msalato tena wengi tu kilakala hawazidi hata sita.
  14. M

    Karo ya shule baobab yapanda ghafla

    hakuna shule nzuri wala ya kawaida, shule ni mwanafunzi elimu ni kuamua watu tumesoma shule za kata now tupo muhimbili university ni kujipanga tu.
  15. M

    Vurugu Kubwa za Kidini Shule ya Sekondari Kibiti

    cjakuelewa mkuu jk kapandkizaje udini? Au unaropoka tu! Jipange kwanza sio kila kitu kumcngzia jk.
  16. M

    Hii ni aibu UDOM

    Huyo inaonekana hayupo chuo.
  17. M

    Je, KATIKA HILI WANAUME NI MALAYA AU WANATIMIZA WAJIBU?

    Umesoma kimwili not spritualy. Nenda kapate tuition ya bible. Halaf uje utupe feedback
Back
Top Bottom