Search results

  1. kastizo zoo

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Habari wasomi wenzangu....Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne, amepata division 3 ya 23 na matokeo yake ni kama ifuatavyo:- English - C Geography - C Kiswahili - C History - C Civics - C Biology - C Math - F Sasa naomba ushauri, nimpeleke ADVANCE au aende CHUO?
  2. kastizo zoo

    Msaada wa chuo kizuri kinachotoa Certificate in journalism

    Habarini Wapendwa,, naomba mwenye kujua vyuo vizuri wanavyofundisha "Certicate ya Journalism" Anijuze... Ahsanten
  3. kastizo zoo

    Kudisco chuo na kupata usaili upya

    Na ndogo wangu amedisco Udom pale mwaka wa 3
  4. kastizo zoo

    Kudisco chuo na kupata usaili upya

    Poa mkuu... na kwenye kuomba chuo hapo unaandika barua TCU au ni moja kwa moja kama mtu alivyoomba mara ya kwanza
  5. kastizo zoo

    Kudisco chuo na kupata usaili upya

    Wanajamii forum naomba msaada kujua kuna taratibu zipi zinafuatwa kwa mtu aliye disco na anataka kuomba tena chuo?
  6. kastizo zoo

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Kwa anayejua ada ya chuo hiki kwa level ya certificate naomba anijuze
  7. kastizo zoo

    Wabunge wajipandishia Posho katika vikao vya Bunge la Bajeti hadi 300,000 kwa siku!

    Wamepiga 300000/= kwa siku kwny siku 70 kwenye Bunge la Katiba, wanapiga tena hela hiyo hiyo kwenye ili Bunge la Bajeti, wakimaliza hapo wanakuja kupiga laki tatu kwa siku kwa siku 60 kwenye Bunge tena la katiba, kweli hakuna usawa hapa......wanachuo tuna hali mbaya hatujapewa hela yetu hadi leo...
  8. kastizo zoo

    UDOM haina soko Tanzania?

    ingekuwa vizuri kama tungejadili tatizo la Ajira kwa vijana
  9. kastizo zoo

    Udom second years wote mnazungumziaje hii.

    huo ni mrad wa mtu, haiwezekan watu tumelipa laki moja first year ya medical safar hii tulipe tena, wanaboa
  10. kastizo zoo

    Kwa first year na wanachuo wote

    ukisikia ma Great thinker mmojawapo ni huyu jamaa, umeonyesha ukongwe wako Mkuu maana kila siku humu haziishi hizo habari za kubishana kuhusu vyuo
  11. kastizo zoo

    Nilichokisikia kuhusu mkakati wa kummaliza kimuziki Belle 9

    kama kwel huo mpango upo basi watashindwa tu,coz Belle 9 ataendelea kutesa tu siku zote!kaza buti Belle 9 achana nao hao MASHANKUPE
  12. kastizo zoo

    Napenda kukitetea Chuo changu cha Mlimani (UDSM)

    Jamaa aliyeanzisha hii Mada ni Mbishi kinoma!ila kila kitu kina uzuri na ubaya wako inawezekana hayo yanyoelezwa na wadau ni Mapungufu ya UD na mengine ni mazuri yake hivyo ni changamoto tu!Ila yote ni hivi Kinachoangaliwa ni Mhusika mwenyewe yupoje baada ya kumaliza Chuo,Wa UDSM anaweza akawa...
  13. kastizo zoo

    CHADEMA wanasa mikakati ya CCM, Kinana kumwondoa Tundu Lissu Bungeni

    Ngoja tusubiri tuone hayo yaliyoelezwa
Back
Top Bottom