Search results

  1. Mtetezi wangu yuhai

    Uganda national electrol commission iwe mfano kwa tume za uchaguzi Afrika

    Kwa kilichotokea UGANDA kiwe Mfano mzuri kwa Tume za uchaguzi Africa Mara Baada ya kumtangaza mbunge wa Chama cha upinzani Mbali na kuwa korokoroni ile Hali taabani Baada ya kipigo kikali cha maafisa wa police. Uchaguzi huu ulighubikwa na fujo na kila Namna ya hujuma Ila Tume imesimamia matakwa...
  2. Mtetezi wangu yuhai

    Wazanzibar si Wazalendo, kwanini hawaungi mkono juhudi za rais Magufuli wakahamia CCM?

    Wamepevuka kisiasa maana kumuunga mkono c kuhama Chama na kuumiza raia kwa kuitumia kodi bila mkakati maaluum
  3. Mtetezi wangu yuhai

    Budget ya kuendesha chaguzi

    Naomba kujua budget ya kuendesha a) Uchaguzi wa mbunge ktk Jimbo moja b) Udiwani ktk Kata moja Kwa kuzingatia yafuatayo 1) budget kichama 2) budget ya Tume ya uchaguzi NEC 3) mfumo wa upatikanaji fungu husika 4) Kwa kuzingatia matumuzi kwa ajili ya uchaguzi na maisha ya mtanzania ni...
  4. Mtetezi wangu yuhai

    NEC itoe suluhu kwa hizi chaguzi ndogo ndogo

    Kwa hesabu za haraka haraka NEC imekua busy mwaka hadi mwaka kwa kuandaa chaguzi ndogo ndogo kila kukicha za udiwani au wabunge wanaojiuzulu nawasikilizia zao kwa sababu wajuao wao. Ni wakati NEC kulitizama hili na kuja na jibu mbadala la kuokoa kiasi kikubwa kinachotumika kuitisha uchaguzi...
  5. Mtetezi wangu yuhai

    Wanaohama wote wanatoa shutuma DPP yupo, CAG yupo, mahakama zipo, polisi wapo. Lakini huwa hawasemi utofauti wa milengo zaidi ya madaraka

    Watu wanaangalia ulaji maana upepo unadhihirisha ukitaka ulaji hamia kwa jiwe umeula hakutupi
  6. Mtetezi wangu yuhai

    Kama alivyofanya DC Ally Hapi, nani awekwe ndani masaa 48 kwa kuchelewesha malipo ya wastaafu kwa miaka kadhaa?

    Ukichunguza watendaji Ndio tatizo.... Hii mifuko wapo wababaishaji ambao wapo kiulaji. Hili ni tatizo serious Sana. Nakuunga mkono serikali ilitizame maana wanajisifu majukwaani mda mfupi au masaa au siku chache Mara Baada ya kustaafu tunakulipa Ila??? Cjui Kama wana maelekezo au laaa!
  7. Mtetezi wangu yuhai

    TFDA chunguzeni bucha za Tabata wanatulisha sumu

    Mbona hueleweki Tatizo ni bucha au nyama au mizani? #Shoctopus
  8. Mtetezi wangu yuhai

    Kwanini Obama hakuonana na Rais wa Tanzania?

    Alimtuma mwakilishi ambaye ni waziri wa Africa mashariki na ushirikiano wa kimataifa. Wamekubaliana Obama ataitangaza Tz kiutalii zaidi ambapo Uncle JPM alikuwa akiwashughulikia wavivu kwa kuwamwaga na kuchagua wengine. Jiwe anatisha. Hapa kazi tuu.
  9. Mtetezi wangu yuhai

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Leo nimekubali Tanzania ina bahati ya kumpata Raisi anayependa kuiona ikibadilika na kuwa bustani yenye amani na furaha. Nimemfuatilia kipindi chote anapofanya teuzi mbalimbali na kugundua yeye MH. JPM anamtazamo chanya Ila watendaji Ndio wanaomwangusha. Hongera Sana Uncle HON...
  10. Mtetezi wangu yuhai

    Rais Magufuli awaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo Julai 03, 2018 Ikulu Dsm

    No more update on due to the Ex leaders discussion on state standings matters??? Or it's undercover?
  11. Mtetezi wangu yuhai

    Rais Magufuli afanya mabadiliko madogo katika baraza la Mawaziri: Waziri Mwigulu atemwa, Lugola aula. Mbarawa ahamishwa

    mheshimiwa Hata jeshi LA magereza kuna uniform fake pia ziliagizwa na uongozi....huu ni uozo mtupu mkuu.
  12. Mtetezi wangu yuhai

    Safari za viongozi kwenda nje UGAIBUNI

    Ni kipindi cha Prof: Kikwete anamaliza muda wake wa mihula miwili kama katiba inavyoelekeza. Katika kipindi chake cha uraisi tumeshuhudia safari nyingi za viongozi akiwemo prof mwenyewe kwenda Ng'ambo kiasi cha kuweka record bila kujali gharama . Hii japo ni kutulaghai naombeni tuungane...
  13. Mtetezi wangu yuhai

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, January 28

    Kwa Mtanzania mwenye UFAHAMU ; HEKIMA NA UADILIFU ni lazima ujue mchezo mchafu wa kuwaficha wale wanaoeleza ukweli wa mambo ktk nchi kama wanasiasa (UPINZANI) na Wanaharakati. Kwa records za hatua za police kuvamia mikutano na maandamano ya haki ni wazi kuna mpango mahususi uliopo toka CCM aka...
  14. Mtetezi wangu yuhai

    Makinda apigilia msumari wa mwisho jeneza la Pinda

    Jamani no lazima tuwe makini na tunawasihi Wawakilishi wetu mlioko mjengoni FINIKA KOMBE MWANAHARAMU APiTE hakuna. Jasho LA MTZ licje wafuata nyuma.
  15. Mtetezi wangu yuhai

    Hofu kubwa ya tanda CHADEMA utendaji wa baraza jipya la mawaziri

    huu ni ukweli fika,"Kifo cha CCM hakiwezi kuepushwa na Kagasheki na Prof Muhongo. CCM kama chama wamechelewa sana kuchukua hatua. RADAR, EPA, BUZWAGI, MEREMETA, RICHMOND, MAJENGO PACHA BOT, MABILIONI YA USWISI....pia na mikataba mibovu ki:rockon:la secta.
  16. Mtetezi wangu yuhai

    PICHA; CHADEMA Yazidi Kuikalia Kooni CCM

    kueni makini wengine wametumwa kuja kuharibu,kueni na macho ya ndani yaonayo mbali.
  17. Mtetezi wangu yuhai

    Taarifa ya Nchimbi kwa wanahabari

    KIUKWELI,KAMA INAVYOONEKANA NI KWAMBA HALI HALISI YA HILI TUKIO NI KWAMBA MHESHIMIWA WAZIRI ANAINGILIA ASICHOKIJUA,KIKUBWA NI HALI YA TUKIO NZIMA,NAULIZA RPC NA WENGINE WAKUBWA WAHUSIKA BADO WAKO BARABARANI.MSIMTOE MHANGA HUYO DOGO PEKEE.DARUBINI YA KWELI IBAINI HILO.:eek2:
  18. Mtetezi wangu yuhai

    Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

    Hongereni kamati kuu ya chadema,m4c iendelee kwa kasi ya ajabu.watanzania tupo tayari kuijenga tz mpya maana imekua zaidi ya ukoloni.
  19. Mtetezi wangu yuhai

    Chadema waonyesha picha za video alivyouawa Mwangosi;Picha zinaonyesha jinsi RPC Iringa alivyoshuhud

    Kiukweli inuma tena inakatisha tamaa ya kuendelea kuiona madarakani serikali ambayo imejaa ubatilivu,utepetevu na unyepenyevu ktk utendaji wake wa kazi.jamani vyombo vya usalama iweni makini katika utendaji wenu hasa kipindi hichi cha vugvugucha la mabadiliko.:a s 465::a s 465:hii ni alama ya...
  20. Mtetezi wangu yuhai

    VIDEO: Hotuba ya M/Kiti wa CHADEMA Taifa wakati akifungua Kikao cha Dharura cha Kamati Kuu

    watanzania kwa sasa tunaamini mabadiliko ya kweli yanakuja bila kuzingatia uchama wala hali ya vitisho kutoka popote.:shetani:its danger!!M4C MBELE KWA MBELE.
Back
Top Bottom