Search results

  1. M

    KIGODA & WTM, nini kinaendelea? Mkurugenzi TBS afutwa cheo baada ya kukataa kuficha madudu ya WTM

    Tusubiri tuone... lakini mwisho wake utakuwa sio mzuri Chami alifanya dharau kama hizi.....
  2. M

    Kasheshe TBS, walioifungia WTM kufutwa ukurugenzi, wafanyiwa interview upya

    Vigogo wa TBS mapigo yapanda, yashukaBy Beatrice Moses Imewekwa Tuesday, March 5 2013 at 00:36 Dar es Salaam. Viongozi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), jana walikumbwa na msukosuko wa ghafla baada ya bodi mpya kumn'goa aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Leandri Kinabo na kutangaza hatua...
  3. M

    Kasheshe TBS, walioifungia WTM kufutwa ukurugenzi, wafanyiwa interview upya

    Siku mbili tu baada ya Kigoda kupongezwa kwa kumtosa Ekelege pale TBS kumetokea hisia tofauti pale ambapo mkurugenzi mpya ameamuriwa kuwafanyia usaili wakurugenzi wenzake wote na kuhakikisha kuwa wale wote waliokuwa wanapinga maagizo ya waziri kumrudisha WTM kazini wanashushwa vyeo. Hii ina...
  4. M

    Ekelege kurudishwa TBS, ripoti yapendekeza afukuzwe lakini waziri asema haoni makosa yake, kaonewa

    Halafu kila wakifanya madudu mawaziri anayeonekana kakosea ni kikwete wakati watu wamepewa kazi kwa heshima lakini hawaitambui heshima hiyo. ona chami anavyosota sasa
  5. M

    Ekelege kurudishwa TBS, ripoti yapendekeza afukuzwe lakini waziri asema haoni makosa yake, kaonewa

    Tatizo Kigoda anataka kubeba mzigo wa miba. Kuna mizigo na mizigo unaweza kubeba lakini sio huu. Kijana kaishaharibu vibaya vibaya, pale TBS hakuna anayetaka kumsikia kwa aibu aliyowaletea , Leo unarudisha madudu yaliyopigiwa kelele na wabunge mpaka mwaziri mwenzako kafukuzwa sijui tukuelewe...
  6. M

    Mwakyembe aanika tuhuma za vigogo TPA, awafukuza kazi

    Alianza na uwanja wa ndege, kapita reli na sasa bandarini , yeye ana kata funua wezi na wazembe bila kujali vitambi vyao lakini tukumbuke ndugu zanguni huyu mzee walijaribu kumuua kwa sababu ambazo wote tunaona sasa. Mwakyembe katimua watu na kasema anawafikisha mahakamani , hii ni mara ya...
  7. M

    Ekelege kurudishwa TBS, ripoti yapendekeza afukuzwe lakini waziri asema haoni makosa yake, kaonewa

    Habari zilizothibitishwa toka ndani ya TBS ni kwamba CHARLES EKEREGE aliesimamishwa kazi ya ukurugenzi pale viwango anarudishwa kazini kuanzia jumatatu 21/01/2013. Waziri kigoda kaamua kumrtudisha waziri huyu licha ya kashfa kubwa zilizomuandama bungeni na kupelekea waziri chami kupoteza kazi...
  8. M

    Ambulance na Chopa za CHADEMA bado azijafika kutoka Uingereza au ilikuwa usanii wa Lema

    Mimi naona huyo LEMA na mwenyekiti wake wa london LUKOSI wameamua kuchukua hela baada ya hizo chopa na ambulance ndio maana hii mijizi ina hela sana, Au watueleze imekuaje
  9. M

    WTM: Kampuni iliyomponza Chami na Ekelege...

    Habari tulizozipata kutoka gazeti la raia mwema lililotolewa leo ni kwamba waziri huyu amekatiwa mshiko wa nguvu kiasi cha kukubali kampuni iliyosababisha ekelege afukuzwe kazi. Inasemekana kuwa baada ya kupewa kitita cha $50,000 Kigoda alisahau yote yaliyosababisha wenzake wafukuzwe kazi...
  10. M

    CHADEMA jaribuni kuheshimu uamuzi wa mtu. Why Lukosi returned HOME? Part I

    Thursday, December 13, 2012 1 comments Kipanya Leo...!
  11. M

    Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

    Du keeling siasa in mchezo mchavu vaa nikuvue karibu home Achana na Hao wachaga
  12. M

    Serengeti freight wamkabidhi mkuu wa mkoa dar michango ya mafuriko iliyotolewa na watanzania uk

    wale walio kua wanasema serengeti wamezulumu mizigo ya mafuriko wako wapi mbona mmekula kona hata kusema like mnashidwa kwa sababu criss ni chadema acheni wivu wa kizamani mnatakiwa muwe na wivu wa kimaendeleo :A S angel:
  13. M

    Mkutano wa Chadema Reading, Updates

    Mwenyekiti hongera sana kazi nzuri unayo fanya ya kuwakutanisha watanzania na kujadili positive things zinazo wahusu watanzania wengi wa nyumbani ondoa usiasa huyu jamaa anahitaji pongezi kwani hata kama CCM au ubalozi wetu kama wangekua wanawakusanya wa Tanzania kwa kujadili mambo yanayo...
  14. M

    Mkutano wa Chadema Reading, Updates

    Mbona hatuja muona huyo mjumbe wa nec?
  15. M

    Mwenyekiti wa chadema uk(lukosi) rudisha vitu vya wahanga wa mafuriko.

    Sikilizeni nyie mnao taka kuharibu majina ya watu wano jiltolea kwa moyo mmoja kama wewe ulikua unataka kujua kuhusu mchango wako wa mafuriko kwa nini hujawahi kuuliza hata siku moja kua mzigo umefikia wapi leo watu wanongelea mambo ya siasa unajiti aat criss maekula hela zenu na vizigo...
Back
Top Bottom