Simba na Tiger ni jamii ya mapaka makubwa, ambapo simba huishi katika Savana za Afrika wakati Tiger (CHUI-MILIA) huishi Asia.
Kwa asili yao, Simba na Tiger hawaishi pamoja, na inapotokea wamewekwa pamoja basi lazima zichapwe haswa.
Simba mkubwa ana wastani wa urefu wa sentimeta 208 na uzito wa...
Sijui kama mmegundua hili? Wale vidampa wanaomkosoa Magufuli wengi wao wamejibanza mtandaoni tu na hasa Jamiiforums.
Mtaani mambo ni tofauti sana. Watu wanamkumbuka sana Jemedari wa vita (chuma cha pua) kwa mambo mengi mema aliyoyafanya.
Hawa vidampa na mafisadi sugu waliojibanza mitandaoni...
Hii ni hoja spesheli ya kutoa mwongozo wa kisheria na kijamii kuhusu upinzani dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.
Ni dhahiri na imezoeleka, kwamba kila ngumbaru yeyote hata asiye na kisomo, akitaka kupinga ushoga anakimbilia kunukuu vifungu vya baibo.
Baibo pamoja na zile ngano na sodoma na...
Huyu Nape anaonekana kama kajiniazi fulani. Ana charisma, hata akiongea ni kama anaongea kwa kunata na biti na madaha.
Na kale kamiwani kake, na venye anamkonga samia, basi ni vyema awe Rais wetu wa Tanganyika hapo 2030.
Halafu pia huyu Nape hapendagi ushoga, amefungia tovuti zaidi ya laki...
Hili zoezi haramu la samia la kuwasondeka watu vidole kwenye njia za haja kubwa ili "kuwapima ushoga" ni zoezi la kihayawani.
Kwanza, linakiuka ibara ya 16 (1) ya Katiba ya nchi. Linavamia usiri wa mtu na faragha ya maumbile yake na utu wake.
Pili, linakiuka sheria ya uendeshaji wa makosa ya...
Matokeo ya mtihani yakitoka, kila mtu hupenda kuulizia mwanao kafauluje.
Hakuna jambo gumu kama mwanao kupata ziro na foo, inakunyima furaha ya kutamba.
Hasa kwa sisi tuliozoea kutoa bastola bar na kujifanya usalama wa taifa, huwezi tena kujitapa mbele ya wenzako.
Hivi unawezaje kujibaraguza...
Humu hakuna makapuku wala-vumbi. Ni mtandao wa mataita wenye pesa chafu.
Huwezi kukuta mshiriki wa jamiiforums anamiliki vigari vya hovyo hovyo kutoka china.
Humu wote tunamiliki landcruisers na magari mengine yenye hadhi ambayo ni chuma kweli kweli.
Na kwa kuongezea pia, wote humu tuna nguvu...
Hivi huyu Bakhresa, yeye na watoto wake wanakunywaga hizo juisi wanazozitengeza kwa kutumia sodium benzoate?
Vile wanavyochanganya matunda na kuyapika na kutia machumvi chumvi, wanaweza kunywa hizo juisi?
Au ndio wanatusukumizia sie peke yetu?
Kuna mtu anakaa na Bakhresa karibu? Amewahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.