Nina rafiki yangu ameniomba ushauri afanyeje juu ya hili.Ana mpenzi wake ambaye amemvisha pete ya uchumba ila anasema kuwa msichana amebadilika kupita kiasi na tabia nyingine za ajabu2 ambazo mwanzoni alikuwa hana,amefika mpaka anaanza kumwambia jamaa tukioana ndugu zako wakija kwetu waseme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.