Search results

  1. M

    Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

    Habari wakuu jamani naomba msaada kwa anejua vizuri soko la nyanya zinapatikana wapi kwa wingi tafadhari msaada tutani
  2. M

    Natafuta tenda ya kusambaza nyama za ng'ombe

    Habari za humu ndani Jamani natafuta tenda za nyama ya ng'ombe mashuleni hotelini restaurant mama lishe na wenye uhutaji plizzz naomba msaada delivery free of charge mawasiliano 0716283599
  3. M

    Tenda ya Kusambaza Nyama ya Ng'ombe

    Habari wanaJF Tafadhari mwenye kujua jinsi gani naweza kupata tenda za kusambaza nyama ya ng'ombe plizzz msaada
  4. M

    Soko la muhogo

    Jamani wana JF nani anafahamu vizuri soko la muhogo yani nauzia wapi nasikia kuna sehemu wanauza kwa wingi zaidi wa kusafilisha nje ya nchi msaada pliz
  5. M

    Wauzaji wa nyama ya ng'ombe

    Tunauza nyama ya Ng'ombe tunatafuta tender za kusapply nyamba bei poa kuanzia 5kg tunakuletea hadi ulipo wasiliana nasi kwa simu namba 0716283599 Hata ukileta mteja utapata posho Tupo sinza madukani UPENDO BUTCHER
  6. M

    Makampuni ya wahindi yanaota mshahara mdoo sana

    salamu, kama kuna mtu humu jukwaani atusaidie jamani kuna haya makampuni ya wahindi watu wanalipwa mishahara midogo sana na majukumu kibao huenda zaidi ya aliitiwa kazini na makato kibao tunaomba kama hata tungeweza tmheshimiwa raisi atusaidie katika hili yani watu wa serikalini watazidi...
  7. M

    Nafasi ya kazi FINANCE OFFICER

    VOLUNTEER POSITION FOR FINANCE OFFICER Plus Finance Company Limited (PFL) is a fast growing company in Tanzania dealing with Micro finance Trainings, Business Consultancy and Micro-lending. The company is looking for a volunteer in a position of FINANCE OFFICER. PFL is executing its three...
  8. M

    Nina degree ya Commerce, natafuta internship

    Jamani naombeni msaada wakuu nina digrii ya commerce ntafuta internship mahali naombeni msaada
  9. M

    Natafuta kazi

    Nisaidieni wakuu nina digrii ya commerce natafuta kazi kwa yeyote anayetaka mfanyakazi ani PM tafadhali
  10. M

    Kupata kazi shughuli

    Hivi jamani hizi kazi za kujuana tutafika kweli
Back
Top Bottom