Search results

  1. Kamsweetie

    To Lara 1...

  2. Kamsweetie

    Tumsaidie mwenzetu apate haki ya mtoto wake

    Best wangu ametengana na mumewe wa ndoa (ya miaka 7 na ushee) huu ni mwaka wa pili sasa, walibarikiwa mtoto mmoja ambaye ni above 7 lakini under 18. Kwa sasa mtoto yupo kwa baba yake na hakuna kinachoendelea kati ya wazazi hawa wawili. Baba mtoto kampiga marufuku mama mtoto kuingia nyumbani...
  3. Kamsweetie

    Hodi hodi Wana JF

    Nimefurahi kupata wasaa wakujitambulisha kwenu wana JF, kama lilivyo jina langu mimi ni kamsweetie mpaka tabia, nategema kujifunza mengi kutokana kwenu na vile vile kujuzana mambo muhimu katika jamii yetu! Wapi mdumange wakukaribisha wageni jamani? Nani yuko kamati ya vinywaji na chakula? :bange:
Back
Top Bottom