SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
Ili kuweza kudhibitiana na mabadiliko ya tabia ya nchi nivema serikali ikaanzisha kitengo kipya kitakachoanzia ngazi ya mtaa/Kijiji hadi taifa watakaokuwa wanashughulikia suala la upandaji wa miti...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Tunaposimama kwenye njia panda za maendeleo na utunzaji wa mazingira, wakati umefika kwa Tanzania kuweka njia dhabiti na yenye dira kuelekea mustakabali endelevu na wenye mafanikio. Changamoto...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Tanzania nchi nzuri yenye udongo wenye rutuba ajabu kubwa sana ni kwamba imekaliwa na mapoli ambayo hayana future yoyote maono yangu MAONO YA MIAKA 5 Kwanza elimu yetu ya veta na kilimo iwe ndo...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Unakuta kuna uhaba wa ajira sekta fulani mfano uhandisi, ualimi, udaktari na sekta mbali mbali. Lakini kuna watu wengi ambao wapo katika hizo fani na wengine wanafanya kazi ambazo hata haziwapi...
1 Reactions
0 Replies
227 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
SCOPE YA TATIZO: Tangu kuanza kwa karne ya 21 Taifa limekuwa katika mageuzi makubwa ya kuasili mifumo mbalimbali ya Tehama, lengo likiwa kuendana na ulimwengu. Mageuzi haya ya utandawazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Tanzania Tuitakayo: Ajira na Tenda kwa Miaka 25 Ijayo Utangulizi Katika kijiji kidogo cha Mkwajuni, kulikuwa na kijana mwenye ndoto kubwa, Juma. Alikuwa na elimu ya chuo kikuu lakini alipambana...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi: Katika Tanzania, huduma za afya zinaendelea kuwa muhimu katika kuboresha ustawi na maendeleo ya jamii. Hospitali za umma zinachukua jukumu kubwa katika kutoa huduma hizi kwa wananchi...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Moja - Itengwe bajeti ya kutosha katika sekta hii; zitolewe fedha ambazo zitakidhi mahitaji ya sekta ya (UCHUKUZI), hata kama sio kwa asiilimia mia moja. Hii itasaidia miradi mfano...
1 Reactions
0 Replies
249 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ili kuendana na teknolojia ya dunia na kukimbia kwa kasi tunapaswa kuwa na teknolojia ambayo itaketa vitu vingi Kwa pamoja na kurahisisha huduma katika sehemu moja Moja ya huduma hizi ni pamoja...
1 Reactions
0 Replies
570 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
TANZANIA TUITAKAYO. Tukumbuke jina Tanzania halikuwepo kabla ya 26/4/1964, lakini ardhi na mipaka yake ilikuwepo. Hivyo pamoja na uumbaji wa Mungu, lakini utashi wa mwanadamu uliweza kuamua...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI. 👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza...
0 Reactions
4 Replies
448 Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
1.Tausi -Portal Tausi -core 2. RITA 3. EGA 4. BIMA 5. KULAZA WAGONJWA HOSPITALI -Private - Goverment 6. UHAMIHAJI -Passport Visa 7. NIDA 8. MIFUMO YA KUHAMISHA WATUMISHI 9. MIFUMO YA MAHAKAMA 10...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Sekta ya ajira nchini Tanzania inalazimika kukabiliana na changamoto kadhaa, ikiwemo upungufu wa wafanyakazi wenye stadi na ujuzi unaotakiwa katika soko la ajira. Hili limekuwa ndio changamoto...
1 Reactions
0 Replies
479 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kwa majina naitwa Praygod Kweka jina La sanna (Baghdad) Nasibu KATIBU Mkuu Tuma - Chama cha muziki wa kizazi kioya, ni Msanii wa fan I ya hip hop mtunzi wa Movie, Muongozaji wa movie na mtangazaji...
2 Reactions
1 Replies
174 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Kwanza ninamshukuru Bwana Mungu na kuniwezesha, kunipa Afya njema. Pia nashukuru Jamii zote za hapa Tanzania kwa Sekta zote za Kijamii na ninatoa shukrani katika Uongozi uliopo katika...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Introduction Tanzania stands at a pivotal juncture in its development trajectory. As the nation looks towards the future, it is imperative to envision a comprehensive roadmap for the education...
0 Reactions
1 Replies
460 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Kuchochea Maendeleo ya Miundombinu Bora ya Tanzania katika Miaka 20 Miundombinu iliyoboreshwa ni nguzo muhimu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika taifa lolote. Kwa Tanzania, kuhakikisha...
1 Reactions
0 Replies
327 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
MFUMO WA TEHAMA UTAKAODHIBITI URASIMU KWENYE SEKTA YA HAKI UTANGULIZI Mimi ni kijana ninaesomea sheria hapa Tanzania. Mwezi uliopita nilijitolea kwenye kliniki ya msaada wa sheria kwa ajili ya...
3 Reactions
0 Replies
308 Views
Upvote 5
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi: Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya pili katika bara la Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya mifugo ikitanguliwa na Ethiopia,Hata hivyo pamoja na wingi huo wa mifugo lakini...
1 Reactions
0 Replies
525 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
MIKAKATI BORA YENYE KUJALI MASLAHI YA WAAJIRIWA PAMOJA NA WASTAAFU. Utangulizi Tanzania, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kuhakikisha maslahi bora kwa wafanyakazi na mikakati endelevu kwa...
1 Reactions
0 Replies
329 Views
Upvote 4
Back
Top Bottom